
Mashindano ya kufuzu Kombe la Dunia barani Afrika yameendelea kwa kishindo leo, yakibeba hisia, matumaini na hofu kwa mataifa yanayowania nafasi adimu ya kushiriki fainali za 2026. Burudani nyingine inatolewa na meridianbet ambao wamehakikisha odds zinakua za uhakika kwenye michezo hii
Katika kundi B, Sudani Kusini wanawakaribisha Togo kwenye dimba la Juba majira ya saa 9 alasiri. Sudan Kusini wanaingia wakiwa na mwenendo mbovu sana baada ya vipigo vya mfululizo kwenye mechi zake za hivi karibuni, lakini Togo mwenye alama saba yupo tayari kupambana kwa ajili ya alama 3 muhimu kwake. Mechi hii ni ya pesa ya wazi kwa wataalamu wa ubashiri na odds zake pale meridianbet ni kubwa sana.
Saa 1 usiku, macho mengi yataelekezwa kwenye mchezo wa Lesotho dhidi ya Zimbabwe. Lesotho wanategemea nguvu ya mashabiki wao, huku Zimbabwe wakitumia uzoefu wa mastaa wanaocheza Ligi mbalimbali za nje ya nchi wakiongozwa na mshambuliaji wao wa kimataifa anayecheza ligi kuu nchini Tanzania, Prince Dube.
Wakati mechi zikiendelea, Meridianbet pia wanakupa nafasi ya kujizidishia mapato kupitia michezo ya kasino kama Poker, Keno, Roulette, Aviator na Superheli. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz, hapa ndipo jamvi la ushindi linapopatikana.
Lakini kivutio kikubwa ni kwenye kundi D ambapo kuna michezo mbalimbali huku Cameroon wakiwa na kazi ngumu dhidi ya Angola, wakati huo huo Cape Verde wanachuana na Eswatini, na Mauritius wakipambana na Libya. Ni michezo ya kuamua mustakabali wa mataifa haya kwenye safari ya kuelekea Kombe la Dunia.
Katika Kundi H, michezo mitatu inatarajiwa kutoa taswira mpya ya mbio za kufuzu. Equatorial Guinea watakuwa nyumbani dhidi ya Liberia, huku Sao Tome & Principe wakicheza na Malawi. Sao Tome wanabaki nafasi ya mwisho bila alama, lakini Malawi wanaendelea kusaka nafasi ya kupanda juu kwenye msimamo.
Mchezo wa kuvutia zaidi utakuwa kati ya Tunisia wanaoongoza kundi hilo kwa alama 22 na Namibia walioko nafasi ya pili wakiwa na alama 15. Tunisia wamekuwa na mwenendo thabiti wakiwa wameshinda michezo saba na kutoa sare moja pekee, hivyo ushindi mwingine unaweza kuwaboroshea zaidi rekodi yao.
ZINAZOFANANA
Meridianbet na uhakika wa pesa kufuzu Kombe La Dunia 2026
Simba kuendelea kutafuta kikosi cha kwanza
Bashiri mechi za kufuzu Kombe la Dunia Jumamosi ya leo