
Alhamisi ya kibabe imefika ndani ya Meridianbet kwani mechi za kufuzu Europa League na Conference kwa baadhi ya mataifa zipo. Meridianbet inasema hivi nafasi ya wewe kuibuka na ushindi ipo hapa. Weka jamvi lako la uhakika hapa.
Tukianza na Europa League kuna mechi ya FC Aktobe vs Legia Warszawa ya Poland. Mwenyeji yeye anakipiga kule Kazakhstan huku nafasi ya kuondoka na ushindi ndani ya Meridianbet akipewa mgeni kwa ODDS 4.80 kwa 1.75. Je beti yako unampa nani leo?. Bashiri sasa.
Mtannage mwingine wa kufuzu kwa Europa msimu ujao ni hii ya Tampereen Lives atamenyana dhidi ya FC Shakhtar Donetsk ya kule Ukrain. Kila timu inahitaji ushindi leo kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kusonga mbele. Je nani unampa nafasi ya kushinda na Meridianbet leo?. 6.80 kwa 1.40 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Ukiwa na Meridianbet unaweza kupiga pesa fasta ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Wakati kwa upande wa NK Celje wao watakuwa kibaruani dhidi ya Sabah Masazir ambao wanakipiga katika ligi kuu ya Azerbaijan wakati kwa wenyeji wao wanakipiga kule Slovenia. Huu ni mpambano wa kusaka nafasi ya kushiriki michuano ya UEFA msimu ujao hivyo kila timu inajitoa kimasomaso. Na wewe mteja wa Meridianbet wakati wako ndio huu, Bashiri hapa ODDS zao ni 1.85 kwa 4.10.
Unaweza kubeti mechi ya FK Partizan Belgrade vs AEK Larnaca mtanange ambao utakuwa majira ya saa 4:00 usiku. Nani ni mbabe leo huku mwenyeji akitaka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya kwanza walipokutana. Je mgeni ataweza kulinda faida yake ya bao moja?. 3.55 kwa 2.55 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
FC Sheriff Tiraspol atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya FC Prishtina ambao mechi ya kwanza walishinda kwa kishindo. Je wenyeji leo wanaweza kupindua meza kwa ODDS ya 2.95 kwa 2.30. Meridianbet pia inatoa machaguo zaidi ya 1000 mechi hii. Suka jamvi hapa.
Vilevile Conference League mechi za kufuzu mashindano ya UEFA msimu ujao zipo ambapo Flora Tallinn dhidi ya Valur Reykjavik ambao mechi ya kwanza walishinda kwa kishindo. Hivyo leo mwenyeji anataka kupindua meza huku mlima ukiwa ni 3 kwa 0. Je nani kushinda na leo tena?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 3.05 kwa 2.10.
HJK Helsinki watawakaribisha NSI Runavik ambao mechi ya kwanza wakiwa kwao waliondoka na ushindi mzito. Leo hii wenyeji wanatarajiwa kupata ushindi wakiwa kwao huku mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania wakimpa mwenyeji ushindi. Wewe beti yako unampa nani?. Bashiri hapa.
Kwa upande wa FC Brest atapepetana dhidi ya FK Sutjeska Niksic ambao hawapewi nafasi ya kushinda mechi hii kwani wamepewa ODDS 4.70 kwa 1.82. Takwimu zinaonesha kuwa mechi ya kwanza walipokutana mwenyeji aliondoka na ushindi. Tengeneza jamvi mechi hii.
ZINAZOFANANA
Pande Marathon haijapata kutokea
NBC yakabidhi ‘Kits’ za NBC Dodoma Marathon kwa GSM Group
NBC yazitambulisha jezi za NBC Dodoma Marathon kwa wadau, Sanlam wapongeza ubora