
SAID Mohammed, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania ( NECTA) ametangaza matokeo ya kidato cha sita leo tarehe 7 Julai 2025 visiwani Zanzibar ambapo kati ya watahiniwa shule waliofaulu ni 125 779 sawa na 99.95% ya watahiniwa wenye matokeo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Mohammed amesema watahiniwa walioshindwa mtihani ni 68 sawa na 0.05% mwaka 2024 watahiniwa 103.252 sawa na 99.92% ya watahiniwa wa shule walifaulu hivyo ufaulu wa watahiniwa wa shule umeongezeka kwa asilimia 0.03% ukilinganishwa na mwaka 2024.
KUANGALIA MATOKEO INGIA HAPA
ZINAZOFANANA
Prof Kitila: Tunahitaji vyombo vya habari imara
Karia mgombea pekee nafasi ya Urais TFF
Majaliwa autema ubunge Ruangwa