
Meridianbet inazindua promosheni ya kipekee ya LOOT Legends, ambayo itaendelea kwa wiki 10 kuanzia 30 Juni hadi 7 Septemba 2025, ikitoa fursa ya kushinda sehemu ya zawadi za TZS 1.5 bilioni. Promosheni hii inalenga wachezaji wa sloti, wakiwapa nafasi ya kupata pesa taslimu bila masharti ya kuchezewa tena, zinazoweza kutolewa mara moja baada ya ushindi.
Kushiriki ni rahisi. Wachezaji wanapaswa kujisajili (opt-in) kwa kila wiki ya mashindano. Kila spin ya pesa halisi ya angalau TZS 280 kwenye michezo ya sloti iliyoteuliwa inawapa nafasi ya kuingia kwenye jedwali la washindi. Mfumo wa pointi unategemea win multiplier ya juu zaidi kutoka spin moja, yaani, spin yenye ushindi mkubwa zaidi ndiyo itakayokupa nafasi bora ya kupanda juu kwenye orodha ya washindi.
NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.
Zawadi za TZS 150 milioni zitagawanywa kila wiki kati ya washindi 1,000, na kufikisha jumla ya TZS 1.5 bilioni mwishoni mwa promosheni. Washindi watapokea arifa kupitia pop-up notification na watalazimika kubofya kitufe cha “Claim” ndani ya siku 7 baada ya kumalizika kwa wiki ya mashindano ili kudai zawadi zao. Zawadi hizi ni pesa taslimu zisizo na masharti ya ziada, zinazowezesha wachezaji kutoa pesa zao mara moja.
Michezo inayoshiriki ni pamoja na 12 Masks of Fire Drums, Candy Combo, Bass Cash X UP, Arena of Gold: Shields of Glory, Gold Blitz, Fire and Roses Joker, na 333 Boom Banks. Promosheni hii inafuata kanuni zote za michezo ya bahati nasibu nchini Tanzania, huku Meridianbet ikihakikisha uwazi na uadilifu kwa wachezaji wote.
Hii ni fursa yako ya kuwa legend wa LOOT. Jisajili sasa kwenye meridianbet, cheza sloti, na uanze safari yako ya kushinda utajiri mkubwa leo.
ZINAZOFANANA
Cheza Aviator, shinda Samsung A25 Mpya kila wiki
USSD imekuja na zawadi kabambe leo
Meridianbet kutoa Bajaj Mpya na safari ya Z’bar kwa watumiaji wa Airtel Money