July 4, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Cheza Aviator, shinda Samsung A25 Mpya kila wiki

Meridianbet, kampuni inayoongoza katika michezo ya kubashiri nchini Tanzania, inawapa wachezaji wote fursa ya kipekee ya kushinda simu mpya za Samsung A25 kila wiki kupitia promosheni ya “Cheza Aviator” inayoanza tarehe 1 Julai 2025 na kumalizika tarehe 31 Julai 2025.

Promosheni hii inalenga kuwashukuru wateja waaminifu wa Meridianbet kwa kuwapa nafasi ya kufurahia mchezo wa kasino mtandaoni wa Aviator huku wakiwa na fursa ya kujinyakulia moja ya simu nane za Samsung A25 zitakazotolewa katika droo za kila wiki. Washindi wawili watatangazwa kila Jumatatu, na zawadi zao zitatolewa siku hiyo hiyo.

Mchezo wa Aviator ni wa kipekee na rahisi kuelewa, unaowapa wachezaji msisimko wa kipekee. Unapoanza, unaweka dau lako, na ndege inapopaa, dau lako linaongezeka haraka. Changamoto ni kutoa pesa kabla ndege haijalipuka, kwani ukichelewa, unapoteza dau lako. Ikiwa utaweka mkakati sahihi, unaweza kushinda pesa nyingi kwa sekunde chache tu.

NB; Meridianbet haikuachi nyuma, kuna michezo mbalimbali ya kasino mtandaoni pamoja na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds bomba zinazokuongezea nafasi ya kuongeza kipato chako kila siku. Kujiunga ni rahisi! Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#.

Kupitia promosheni hii, kila dau lako kwenye Aviator linakuweka kwenye nafasi ya kuingia kwenye droo ya wiki, ambapo simu mbili za Samsung A25 zitatolewa kila Jumatatu kwa wachezaji walioshiriki kikamilifu kulingana na vigezo na masharti.

Ili kujiunga na promosheni hii, unahitaji kuwa mteja aliyesajiliwa kwenye meridianbet.co.tz au kwenye programu ya simu ya Meridianbet. Iwapo bado hujasajili, mchakato ni rahisi, wa haraka, na salama. Jisajili sasa na anza kucheza Aviator ili upate nafasi ya kushinda.

Meridianbet inahakikisha uwazi na uadilifu, na wachezaji wote wanaokubali kushiriki wanathibitisha kuwa wamekubaliana na vigezo na masharti. Kampuni ina haki ya kubadilisha au kusitisha promosheni ikiwa kuna sababu za msingi, ili kuhakikisha usawa kwa kila mshiriki.

Usikose fursa hii ya kufurahia mchezo wa Aviator huku ukiwa na nafasi ya kushinda simu mpya ya Samsung A25 kila wiki. Katika mwezi mzima wa Julai 2025, jumla ya washindi nane watapewa simu hizi za kisasa.

Jisajili Meridianbet sasa, weka dau lako kwenye Aviator, cheza kwa ustadi, na uwe mmoja wa washindi wa promosheni hii ya kusisimua.

About The Author

error: Content is protected !!