
MERIDIANBET inakuletea ofa ya kipekee kabisa kwa wateja wapya wanaojiunga kwa mara ya kwanza. Ikiwa wewe ni mfuatiliaji wa michezo ya kubashiri au kasino ya mtandaoni na bado hujawahi kuwa sehemu ya Meridianbet, basi sasa ni wakati sahihi wa kuanza safari yako ya ushindi. Kwa kujisajili na kuweka salio la kuanzia TSH 1,000, unafunguliwa mlango wa kupata bonasi ya hadi 150% kwenye michezo ya kubashiri, au hadi mizunguko 150 ya bure kwenye sloti ya Pia Premium kutoka Expanse.
Zawadi hizi hutegemea kiwango cha pesa unayoweka kwa mara ya kwanza. Mchezaji anayeweka kati ya TSH 1,000 hadi 4,999 atapokea mizunguko 20 ya bure. Wanaoweka kati ya TSH 5,000 hadi 14,999 watapata mizunguko 50 ya bure, huku wale wanaochangia kati ya TSH 15,000 hadi 29,999 wakijinyakulia mizunguko 100 ya bure. Wateja wapya watakaoweka zaidi ya TSH 30,000 nao pia wanapata mizunguko 100 ya bure kwenye sloti ya Pia Premium.
Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Ili kuhakikisha unafuzu kupokea zawadi hizi, unatakiwa kuzungusha mara mbili kiasi cha pesa ulichoweka kwa mara ya kwanza ndani ya siku sita tu tangu ulipojisajili. Kama hautaweka salio ndani ya kipindi hicho, utakuwa umeikosa nafasi hii ya promosheni. Ni muhimu pia kujua kuwa vigezo hivi vya uzungushaji vinahesabika kwenye michezo ya sloti pekee. Michezo kama Crash, Live Dealer na aina nyingine za kasino hazihusiki katika promosheni hii.
Baada ya kushinda kupitia mizunguko ya bure, kiasi chako cha ushindi kinatakiwa kuchezwa tena mara 40 kwenye sloti ya Pia Premium kabla ya kuweza kuhamishiwa kwenye akaunti yako ya pesa halisi. Meridianbet itakutumia taarifa kupitia app kuhusu kiasi kitakachokuwa tayari kuhamishwa. Hata hivyo, iwapo mchezaji ataamua kujiondoa kwenye promosheni kabla ya kutimiza vigezo vyote vilivyowekwa, mizunguko ya bure itafutwa na faida yoyote haitatolewa.
Hii ni nafasi ya kipekee ya kushinda na kufurahia michezo ya kasino ukiwa na mwanzo mzuri kabisa. Jisajili sasa kwenye Meridianbet, weka salio lako la kwanza, na ujipatie burudani na bonasi za nguvu zinazokusubiri.
ZINAZOFANANA
Tumia Airtel Push kujipatia bonasi
Kasino ya Lucky Sevens ni rahisi kucheza na kuibuka tajiri, fanya haya
Cheza leo sloti ya Mafia Clash kasino uone maajabu ya ushindi rahisi.