May 24, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Nafasi ya kuwa milionea ipo Meridianbet pekee

 

Mechi kali leo hii  zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS za kibabe na machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi za leo.

Kule Ufaransa kutakuwa na fainali ya Coupe de France kati ya bingwa mtetezi wa ligi PSG dhidi ya Stade Reims. Ikumbukwe kuwa vijana wa Enrique wanataka Treble msimu huu huku pia bado wakiwa na fainali ya UEFA mwisho wa mwezi huu. Mechi ya leo ni muhimu sana kwao, lakini pia Reims wanahitaji kombe hili. Paris kushinda ana ODDS 1.17 kwa 17. Jisajili hapa.

Kule Ujerumani pia kuna fainali ya DFB POKAL kati ya Arminia Bielefeld dhidi ya VFB Stuttgart. Ikumbukwe kuwa Armia anashiriki ligi daraja la 3 kule Ujerumani huku Stuttgart yeye akishiriki ligi kuu. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 6.20 kwa 1.50. Wewe unaweka wapi beti yako?. Tandika jamvi hapa.

Nafasi ya kuwa mshindi na Meridianbet unayo leo, Suka jamvi lako hapa lakini pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

Ligi kuu ya Hispania LALIGA inatarajiwa kuendelea leo hii ambapo kwenye viwanja mbalimbali mechi zitapigwa, Real Madrid atakipiga dhidi ya Real Sociedad ambao wapo nafasi ya 11. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Carlo Ancelotti na vijana wake kwa ODDS 1.43 kwa 6.60. Je beti yako wewe unaiweka wapi?. Bashiri hapa.

Naye Espanyol Barcelona baada ya kupoteza mechi iliyopita leo hii atamenyana dhidi ya Las Palmas ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 8.60 kwa 1.37. Mwenyeji anahitaji ushindi leo ili asishuke daraja. Lakini je atafanikiwa?. Jisajili na ubashiri hapa.

Mtanange mwingine utakuwa wa Rayo Vallecano dhidi ya RCD Mallorca huku tofauti yao ikiwa ni pointi 4 pekee. Mara ya mwisho kukutana, mgeni aliondoka na ushindi hivyo leo hii mwenyeji anataka kulipa kisasi nyumbani. Mechi hii imepewa ODDS 1.55 kwa 6.60. Tengeneza jamvi hapa.

Kwa upande wa Getafe yeye ataumana vikali dhidi ya RC Celta Vigo huku nafasi ya kuondoka na ushindi akipewa mgeni kwa ODDS 1.95 kwa 4.10. Takwimu zinaonesha kuwa mchezo wa mkondo wa kwanza walipokutana, mwenyeji alipigika. Nani unampa pesa yako akutajirishe leo?. Suka jamvi hapa.

CA Osasuna baada ya kushinda mechi iliyopita, leo hii atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Deportivo Alaves ambaye naye pia alishinda mechi yake iliyopita. Wote wanahitaji kumaliza ligi kwa ushindi leo. Je nani kuondoka kifua mbele?. Bashiri mechi hii ODDS zake ni 3.25 kwa 2.40.

Vilevile kule Italia SERIE A kuna mechi kadhaa zitapigwa Bologna atakiwasha dhidi ya Genoa ambao wanashika nafasi ya 13, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 8. Nafasi ya kuondoka na pointi 3 pale Meridianbet amepewa mwenyeji kwa ODDS 1.65 kwa 5.00. Suka jamvi hapa.

AC Milan atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya AC Monza mabao ndio vibonde wa ligi hadi sasa. Mechi ya kwanza kukutana, Milan aliondoka na ushindi mwembamba ugenini. Leo hii yupo nyumbani kusaka uhsindi muhimu kabisa. ODDS za mechi hii ni 1.30 kwa 9.00, vileile machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri sasa.

About The Author

error: Content is protected !!