
NDUGU mteja wa Meridianbet wikendi hii Meridianbet ilimpata mshindi wa wikendi iliyopita ambaye ameweza kushtua wengi kwa kupiga mshindo mkubwa wa maana kabisa kwenye mechi zake 13.
Mshindi huyu anaitwa Mathew Ngomba kutoka Tabata Shule ambaye ameweza kushinda Shilingi Milioni 57,099,383 za Kitanzania kwa shilingi 30,000 tuuh ambapo yeye aliamua kuchagua chaguo la MULTIGOALS ambapo hili unalipata ndani ya Meridianbet, na kama inavyojulikana kampuni hii ndiyo bingwa wa machaguo mengi zaidi ya kubashiri.
Bwana Mathew sio kwamba ni mgeni katika masuala ya ubashi kwani mpaka sasa ana miaka 15 ya ubashiri na Meridianbet ndio kampuni yake pendwa anayotumia kila siku yaani anasema kuwa hajawahi kuhama kwa miaka yote hii.
Ilikuwa ni furaha sana kwake kujua kuwa ameweza kushinda kiasi hiko cha pesa kwani toka msimu uanze ndio kwanza wikendi hii ameshinda huku akisema yaani hii ni mara ya kwanza kushinda Milioni hamsini na kuendelea kwani zamani alikuwa akishinda chini ya hapo.
Nafasi ya wewe kuwa Milionea ipo Meridianbet leo. Suka jamvi lako la ushindi leo na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Kama tunavyojua Meridianbet ni Kampuni kubwa hivyo wana maduka kibao ambayo watu hufanya ubashiri sio lazima ubeti online, na mshindi huyu yeye alibashiri katika duka mojawapo la Meridianbet pale Kariakoo Maxi 19 ambapo ndipo hupendelea kutumia duka hilo kufanya ubashiri.
Katika chaguo ambalo alichagua la Multigoals 3-5 kwenye mechi zake 13 aliweza kuchanganya timu kutoka sehemu mbalimbali Duniani lakini pia na mashindano tofauti kwani alibashiri mechi kuanzia za Europa League, Conference League, Ligi kuu ya Ureno, Ligi kuu ya Uturuki, Ligi daraja la kwanza Uingereza, Laliga, pamoja na Serie A.
Lakini pia mshindi huyu amesema kuwa yeye hupendelea kuweka dau la kuanzishia shilingi elfu kumi na kuendelea kwani ndio humpa urahisi wa yeye kuweza kuamini kuwa anaweza kupiga mshindo mkubwa. Lakini pia mechi zake ambazo hubashiri huweka lengo la kuwa zisivuke mechi 14.
Katika kupiga story na Milionea huyu Meridianbet walimuuliza kuwa anashabikia timu gani Tanzania na Uingereza akasema kuwa yeye hapa Tanzania hana timu wakati kwa upande wa Uingereza ni shabiki wa Chelsea. Lakini kutokana na kuwa yeye ni mtu wa kubashiri huweza hata kuiua timu yake kwaajili ya pesa.
Meridianbet huwa ina option ya KUCASH OUT au TURBO lakini Mathew anasema yeye aliona kuwa bora asubiri pesa yake yote uliko kupata Milioni 2 ambayo ilikuwa imekuja.
Aliongeza kuwa hupenda kutumia kubashiri na Meridianbet kwani ina machaguo zaidi ya 1000 hivyo anapata wigo mpana wa kufanya anachotaka, lakini pia Turbo Cash inamfanya aendelee kubashiri na Meridianbet halikadhalika huduma ambazo wanatoa dukani.
Vilevile Mshindi huyu alisema kuwa hutengeneza mkeka wake online kwenye Fast Bet halafu anaenda dukani kuutoa kwa Cashier ndio inampa urahisi kuliko kwenda kusubiria dukani kutokana nashughuli zake ambazo anazifanya.
Meridianbet ina michezo ya Kasino ya Mtandaoni kibao sana ikiwemo Aviator, Super Heli, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao ambayo hutolewa lakini yeye anapendelea kubashiri michezo pekee.
Pesa hiyo ambayo ameipata Bwana Mathew amesema kuwa ataenda kuiendeleza kwenye miradi yake kwani msimu huu amepata faida kubwa sana hivyo anawasihi vijana wenzake kuwa HAKUNA KUKATA TAMAA, wacheze michezo ya kubashiri kwa malengo.
Na wewe inaweza ikawa zamu yako kuwa Milionea kama Mathew hivyo ingia Meridianbet na usuke jamvi lako la ushindi sasa.
ZINAZOFANANA
Mchezo gani wa kasino rahisi kucheza na kula?
Meridianbet yazindua “Gates of Olimpia” – Sloti mpya kutoka Expanse Studios
Sloti ya Wild 27 kasino ya mtandaoni