
PAPA Francis
MAKARDINALI kutoka nchi mbalimbali ulimwenguni waliokusanyika mjini Vatican tangu kifo cha Papa Francis wanatarijiwa kukutana na kupanga tarehe rasmi ya kumpata Papa atakayekuwa kiongozi wa waumini wa Kanisa Katoriki duniani. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea).
Leo Jumatatu tarehe 28 Aprili 2025, ndipo kikao hicho kinakusudiwa kufanyika na makardinali mbalimbali ambapo bado haijajulikana nani atakuwa na sifa ya kuwa Papa wa kuweza kuwaongoza waumini wa Roman Katoliki.
Uchaguzi wa kupata Papa huwa unafanyika ndani ya kanisa la Sistine na huwa wa siri sana na hufuata taaratibu kali na mila maalumu na hauna mda maalumu wa kufikia muafaka
Uchaguzi huo unafanyika ni baada ya kifo cha aliyekuwa kiongozi wa waumini wa kanisa la wakatoriki duniani Papa Francis aliyefariki tarehe 21 Aprili 2025.
ZINAZOFANANA
Matumizi ya kijeshi yaongezeka duniani kwa kiwango kikubwa
Kesi ya Israel kuanza kusikilizwa
Trump: Rais wa Ukraine ana nia ya makubaliano