March 23, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Reflectors zatolewa kwa bodaboda

IKIWA leo hii ni wikendi nzuri kabisa ya Jumamosi, wakali wa ubashiri Meridianbet imeamua kwafikia bodaboda wa Kariakoo na Fire kwaajili ya kutoa Reflectors zitakazowasaidia kwenye kazi zao.

Jumamosi ya leo, Meridianbet, katika sehemu zake za kuunga mkono jamii na kuboresha usalama barabarani, leo imegawa reflectors kwa madereva wa bodaboda katika eneo la Kariakoo, kwaajili ya kuhamasisha usalama wa watumiaji wa barabara na kupunguza ajali za barabarani zinazotokana na mwonekano mdogo, hasa wakati wa usiku.

Reflectors hizi zitawasaidia madereva wa bodaboda kuonekana na madereva wengine na kuwawezesha kuonekana kwa urahisi, hivyo kupunguza ajali.

Bashiri na Meridianbet mechi za kufuzu kombe la Dunia ushinde zaidi ya mamilioni. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.

“Usalama barabarani ni jukumu la kila mmoja wetu. Tunajivunia kuwa sehemu ya suluhisho kwa kusaidia madereva wa boda boda kupata vifaa muhimu vinavyoongeza usalama wao wanapotekeleza majukumu yao ya kila siku.” Mwakilishi wa Meridianbet alisema.

Meridianbet inawahamasisha madereva wote wa boda boda kutumia helmet na reflectors kila mara wanapokuwa barabarani ili kulinda maisha yao na ya wengine.

Kwa msaada huu, Meridianbet inathibitisha kwa mara nyingine tena dhamira yake ya kuleta maendeleo ya kijamii kupitia kampeni za usalama na ustawi wa jamii.

Meridianbet imesema kuwa inatmbua kuwa madereva wa bodaboda wanachangia sana katika uchumi wa nchi, na ni jukumu lao kuhakikisha wanapata mazingira salama ya kufanya kazi zao.

Meridianbet itaendelea kutoa msaada kwa jamii kupitia miradi ya CSR yenye manufaa kwa watu wa sehemu mbalimbali za Tanzania. Kampuni itaendelea kuboresha maisha ya Watanzania kwa njia mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ushirikiano na sekta ya usalama barabarani, michezo, na elimu.

About The Author

error: Content is protected !!