
HATIMAYE leo hii ni siku ya wewe kuondoka na kitita cha mkwanja ndani ya Meridianbet ambapo mechi kibao za pesa zipo uwanjani kukupatia maokoto. Ingia Meridianbet na ubashiri sasa.
Tukianza na ligi kuuu pendwa Duniani pale Uingereza yaani EPL leo hii mapema kabisa Manchester City watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Nottingham Forest ambapo mechi ya kwanza kukutana msimu huu Pep alishinda. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda City kwa ODDS 1.95 kwa 3.75. Bashiri hapa.
Pia mtanange mwingine ni huu wa Brighton vs Fulham ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 1 pekee huku kila timu ikihitaji ushindi siku ya leo. Mwenyeji ametoka kushinda mechi yake iliyopita, halikadhalika kwa mgeni wake. Mechi hii imepewa ODDS 2.04 kwa 3.70. Je beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili hapa.
Kinara wa ligi Liverpool atakuwa Anfield kusaka pointi 3 za kuzidi kujikita kileleni dhidi ya Southampton ambao wapo kwenye hali mbaya kwenye msimamo wa ligi wakiwa wa mwisho kwenye msimamo wa ligi. Mechi ya mkondo wa kwanza kukutana, Jogoo alishinda. 1.13 kwa 19 ndio ODDS za mechi hii. Tandika jamvi hapa.
Jumamosi ya kuibuka mshindi hii hapa, bashiri sasa na Meridianbet mechi zote. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Utamu mwingine utakuwa katika dimba la Gtech Community ambapo Brentford watamenyana dhidi ya Aston Villa ambao wapo nafasi ya 10 huku mwenyeji wake akiwa wa 10. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.27 kwa 3.00. Beti hapa.
Kule LALIGA pia kuna mechi za pesa Celta Vigo ataumana vikali dhidi ya Leganes ambao walishinda mechi yao iliyopita. Mwenyeji yeye alitoa sare, hivyo mechi hii ya leo ni muhimu sana kwao kushinda. Je nani kuondoka na pointi 3 leo?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Tengeneza jamvi hapa.
Villarreal atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Deportivo Alaves ambao wapo nafasi ya 19 kwenye msimamo wa ligi, huku mgeni wao akiwa nafasi ya 5. Nyambizi wa Njano ndio wanaopewa nafasi ya kushinda leo wakiwa na ODDS 2.41 kwa 3.10. Wewe unampa nani ushindi?. Jisajili hapa.
Mechi nyingine ya kubetia ni hii ya vinara wa ligi FC Barcelona vs Osasuna ambao mechi ya mwisho kukutana Barca alipigika vibaya sana hivyo mechi hii ya leo Hans Flick anahitaji kulipa kisasi. 1.25 kwa 10 ndio ODDS za mechi hii. Je vijana hao wa Catalunya watalipa kisasi?. Suka jamvi hapa.
Kule Italia SERIE A nayo patashika nguo kuchanika Parma Calcio atamualika kwake Torino ambao wapo nafasi ya 11 na mwenyeji wake akiwa nafasi ya 17. Mtanange wa mwisho kukutana timu hizi mbili, hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Je leo hii nani kuondoka kifua mbele?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 3.05 kwa 2.50.
Kwa upande wa AC Milan yeye baada ya kupigika mechi 3 mfululizo kwenye ligi, leo hii atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya US Lecce ambao kwenye mechi 4 za mwisho wameambulia pointi 2 pekee. Pointi 3 ni muhimu kwa kila timu leo huku nafasi ya kushinda akipewa Milan kwa ODDS 1.96 kwa 4.00. Bashiri hapa.
Naye Inter Milan ambaye ndiye kinara wa ligi atakuwa nyumbani pale Giuseppe Meazza kuchuana vikali dhidi ya Monza ambao ndio vibonde wa ligi hadi sasa wakiwa na pointi zao 14 kwenye mechi 27 ambazo wamecheza. Je vijana wa Inzaghi watachukua pointi 3 nyumbani?. 1.17 kwa 19. Jisajili hapa.
BUNDESLIGA kule Ujerumani nayo itaendelea leo ambapo Bayer Leverkusen atamkaribisha kwake Werder Bremen kusaka pointi 3 ambazo mechi ya kwanza walipokutana aliziangusha. Vijana wa Alonso mechi iliyopita wameshinda huku mgeni yeye alipoteza. Je beti yako unampa nani leo huku ODDS za mechi hii ni 1.30 kwa 9.80. Suka jamvi hapa.
Vilevile mechi nyingine ya pesa ni hii ya Borussia Dortmund vs FC Augsburg huku tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee huku kila timu iikihitaji pointi 3 kwenda nafasi ya juu. Borussia anahitaji ushindi hii leo akiwa nyumbani ili alipe kisasi kwenye mechi yake iliyopita aliyopoteza walipokutana. 1.43 kwa 7.00 ndio ODDS za mechi hii. Beti sasa.
Naye RB Leipzig atakuwa ugenini kuchuana dhidi ya Freiburg huku timu hizi zikiwa zinafatana kwenye msimamo wa ligi na tofauti yao ni pointi 2 pekee. Mwenyeji ametoka kutoa suluhu mechi yake iliyopita, huku mgeni yeye akipigika nyumbani. Nani unamdhamini akupe pesa?. 2.60 kwa 2.80 ndio ODDS zao. Suka jamvi hapa.
Ligi nyingine itakayoendelea leo hii ni LIGUE 1 kule Ufaransa mbapo kinara wa ligi PSG atakuwa ugenini kucheza dhidi ya Stade Rennes ambao wapo nafasi ya 11. Mara ya mwisho kukuta timu hizi mbili, Paris aliibuka na ushindi. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya ushindi Luis Enrique na vijana wake kwa ODDS 1.68 kwa 4.90. Bashiri hapa.
Vilevile Lille OSC ataumana dhidi ya Montpellier HSC ambao ndio vibonde wa ligi wakiwa na pointi zao 15 kwenye mechi 24 ambazo wamecheza. Ni sare iliyopatikana kwenye mechi ya mwisho walipokutana. 1.44 kwa 7.20 ndio ODDS za mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.
Pia kwa upande wa Marseille yeye atakipiga dhidi ya RC Lens majira ya saa 5:05 usiku huku tofauti ya pointi kati yao 16 huku Meridianbet wakiipa mechi hii ODDS 1.50 kwa 6.20. Nani unampa pesa yako hapa?. Jisajili sasa.
ZINAZOFANANA
Meridianbet kukupatia mkwanja mnono leo
Kamati ya Ligi yaufuta mchezo wa Yanga na Simba
Bodi ya Ligi: Mchezo upo palepale, Yanga hawachezi siku nyingine