
MERIDIANBET Foundation, taasisi ya kijamii ya Meridianbet, sehemu ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), imezindua kampeni ya kimataifa ya uchangiaji vitabu, ikilenga kusaidia maktaba ndogo na vituo vya jamii duniani. Kampeni hii ni sehemu ya juhudi za kampuni kuimarisha upatikanaji wa elimu na utamaduni kwa kutoa vitabu vya kusoma, na kusaidia kukuza jamii zinazohitaji msaada.
Wafanyakazi wa Meridianbet wamejitolea kuchangia vitabu walivyovisoma, na vitabu hivi vitasambazwa kwa maktaba na vituo vya jamii, ili kuhakikisha jamii katika maeneo yenye changamoto za kifedha zinapata fursa ya kujifunza na kupanua maarifa yao.
“Elimu ni muhimu kwa maendeleo ya jamii, na kupitia kampeni hii, tunataka kutoa mchango wa kudumu kwa kukuza utamaduni wa kusoma na kusaidia jamii zenye uhitaji wa vitabu na rasilimali za elimu,” alisema Stefan Todorović, Mkuu wa Global CSR wa Meridianbet Foundation.
Kampeni hii itaendelea kuenea katika masoko yote ambapo Meridianbet inafanya kazi, ikiwa ni sehemu ya dhamira ya kampuni kusaidia jamii kupitia elimu na maendeleo ya kijamii.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
ZINAZOFANANA
Puma Energy Tanzania yazindua awamu ya pili ya Kampeni ya Usalama Barabarani kwa wanafunzi wa msingi
Majaliwa ataja ukuaji na mapato ya reli ya kati
Bonasi baab kubwa ukicheza kasino ya Chinese Tiger