March 26, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Anza wiki na maokoto ya maana Meridianbet

Je unajua Jumatatu ya leo unaweza kuondoka na mkwanja wa maana ndani ya wakali wa ubashiri Meridianbet?. Suka jamvi lako la ushindi na uondoke na kibunda cha mkwanja sasa.

Kombe la FA kule Uingereza raundi ya 5 litaendelea kwa mchezo mkali leo hii kati ya Nottingham Forest vs Ipswich Town. Kwenye ligi vijana wa Nuno wapo nafasi ya 3 huku mgeni wao akiwa nafasi ya 18. Tofauti ya pointi kati yao ni 31 huku mgeni akitaka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi yao iliyopita. Meridianbet wanawapa nafasi kubwa ya kushinda 1.75 kwa 4.60. Bashiri hapa.

Shinda mshindo wa maana na Meridianbet leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Aviator,Keno na mingine kibao.

Tukiachana na Uingereza tunaenda hadi pale Hispania ambapo leo hii LALIGA kutakuwa na mechi kali kabisa kati ya Villarreal dhidi ya Espanyol Barcelona huku timu zote zikiwa zimetoka kushinda mechi zao zilizopita. Mwenyeji yupo nafasi ya 5 na mgeni wake nafasi ya 15 mpaka sasa. Nyambizi wa Njano ndio wanaopendelewa kuondoka na ushindi leo hii kwa ODDS 1.45 kwa 7.00. Jisajili hapa.

Pia kule Italia SERIE A itaendelea kwa mtanange mkali kabisa ambapo Juventus baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo atamleta kwake Hellas Verona ambaye naye pia alishinda. Kila timu inahitaji ushindi leo hii isogee nafasi ya juu. Je vijana wa Motta wanaweza ingia TOP 4 leo?. 1.35 kwa 9.40 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.

Lakini pia unaweza ukabashiri mechi ya ligi kuu ya Ureno yaani PRIMEIRA LIGA ambapo Sporting Lisbon watamenyana vikali dhidi ya Estoril ambao wapo nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi baada ya kushinda mechi zao 9. Mwenyeji yupo nafasi ya 1 huku mara ya mwisho walipokutana Lisbon aliondoka na ushindi. Je leo pia ataendeleza ubabe akiwa nyumbani kwake?. Beti mechi hii yenye ODDS 1.20 kwa 12.

About The Author

error: Content is protected !!