
MABINGWA wa michezo ya kubashiri na michezo ya kasino kampuni ya Meridianbet imetoa mshindi wa shilingi milioni 44 ambaye amepatikana kwa kucheza mchezo wa kasino wa Aviator ambao umekua kipenzi cha wateja wengi.
Mteja huyo anayefahamika kwa utambulisho wa HN amefanikiwa kushinda kiasi hicho cha pesa kwa kutumia dau dogo tu, Kwani bwana HN aliweka kiasi cha shilingi 4400 na kufanikiwa kushinda kiwango hicho cha pesa.
Wateja wanahimizwa na wale ambao bado hawajajiunga na kampuni hiyo kuchukua hatua mapema na kununua tiketi ili kuongeza nafasi zao za kushinda. Kumbuka kuwa hii ni nafasi pekee ya wewe mteja kubadilisha maisha yako kwa kuweza kushinda kiasi kikubwa cha pesa katika mchezo wa kubashiri.
Mteja huyu alifanikiwa kushinda kiwango hiki cha pesa tarehe 24 mwezi huu wa pili baada ya kufanikiwa kupiga odds 10,000 katika mchezo wa Aviator, Akifanikiwa kua milionea mpya mjini hii ikionesha kwa namna gani mchezo wa Aviator kupitia Meridianbet umekua ukibadilisha maisha ya watu.
Mteja HN mkazi wa Dar-es-salaam ameingia kwenye rekodi ya moja ya washindi wa mkwanja mkubwa kupitia Aviator ya Meridianbet, Lakini kubwa zaidi ameweza kushinda kitita hicho akiweka dau dogo la shilingi 4400 tofauti na wengine.
Kupitia mshindi huyu inaonesha ni wazi unaweza kunyakua mkwanja wa kutosha bila kujali dau uliloweka ilimradi likidhi vigezo, Kwani Meridianbet unaweza kucheza mchezo wa Aviator kwa kiasi cha shilingi mbili.
Ukitaka kua milionea kama bwana HN usikae kinyonge weka dau lako na uanze kucheza mchezo matata wa kasino wa Aviator, Kwani mchezo huu umekua ukitoa washindi wa mamilioni mara nyingi hivo ni wewe tu unapaswa kupigania kitita kwa kucheza Aviator leo.
ZINAZOFANANA
Dk. Biteko awapongeza Exim kuzindua tawi Kahama
Aviator kukupatia PS5 leo
Benki ya Exim yaingia mkataba wa miaka mitatu na ZATI