Jumatatu ya kwanza ya mwezi Februari imefika ambapo leo hii unaweza ukasuka jamvi lako na kubashiri mechi zote zinazoendelea huku nafasi ya kupiga mzigo ikiwa ni kubwa. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri hapa.
Ligi kuu ya Uingereza EPL baada ya wikendi kuendelea na kushuhudia vipigo vingi sana, hatimaye leo hii kuna mechi kali kabisa katika dimba la Stamford Bridge kati ya Chelsea dhidi ya West Ham United. Hii ni Derby ya London huku mchezo wa kwanza walipokutana, The Blues walishinda. Je leo hii wageni watalipa kisasi?. Mechi hii ina ODDS 1.35 kwa 7.60. Jisajili hapa.
Hispania LALIGA itaendelea kwa mchezo mmoja ambapo Girona baada ya kupoteza mechi iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya UD Las Palmas ambao wapo nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili, mwenyeji alipoteza. Je leo hii kwa ODDS 1.53 kwa 6.00 atalipa kisasi?. Bashiri hapa.
Jumatatu ya leo Meridianbet wanakwambia kuwa nafasi ya kupiga pesa ni kubwa sana. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Lakini pia kule Italia SERIE A inatarajiwa kuendelea kwa mchezo mmoja pia Lazio Rome atasafiri kupepetana dhidi ya Cagliari Calcio ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 18, timu zote zinataka pointi 3 huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya ushindi Lazio kwa ODDS 1.97 kwa 4.00. Je wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Suka jamvi hapa.
CHAMPIONSHIP pale Uingereza pia kitawaka hasa kati ya Middlesbrough vs Sunderland ACF ambapo takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana, mwenyeji alipoteza akiwa ugenini, hivyo leo hii yupo nyumbani anahitaji kulipa kisasi. Je mgeni ataweza kumzuia?. 2.35 kwa 3.10 ndio ODDS za mechi hii. Tandika jamvi hapa.
Vilevile kule Uturuki SUPER LIG kuna mechi ya kubashiri ambapo bingwa mtetezi Galatasaray atakuwa ugenini kusaka pointi 3 za kuzidi kujikita kileleni dhidi ya Gaziantep FK ambao wanashika nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi. Tofauti yao ni pointi 28. Beti yako unampa nani leo?. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 6.00 kwa 1.43. Jisajili hapa.
Ligi nyingine ya kukupatia pesa pia leo ni hii ya Ureno yaani PRIMEIRA LIGA yenye mechi mbili leo hii, kwanza FC Porto atakuwa ugenini dhidi ya Rio Ave ambao walishinda mechi yao iliyopita. Porto anashikilia nafasi ya 10 huku mgeni wake akiwa nafasi ya 3. Bashiri mechi hii yenye ODDS 8.00 kwa 1.37. Tengeneza jamvi hapa.
Wakati huo huo naye SC Braga atakuwa akimenyana vikali dhidi ya Moreirense FC, ambapo wakali wa ubashiri Meridianbet nafasi kubwa kabisa ya ushindi mgeni kwa ODDS 1.98 kwa 3.80. Bashiri mechi hii.
ZINAZOFANANA
Maliza wikendi kishujaa na Meridianbet leo
Chukua chako na Meridianbet Jumamosi ya leo
Gumzo albamu mpya ya Bruce Melodie