BAADA ya jana ligi ya mabingwa ulaya kupigwa kwenye viwanja mbalimbali ambapo wewe mdau wa Meridianbet unaweza kupiga mkwanja wa kutosha kupitia michezo ambayo inakwenda kupigwa usiku wa leo.
Klabu ya PSG leo itashuka dimbani kumenyana na vijana wa Pep Guardiola Manchester City ambao hawapo kwenye ubora mkubwa sana siku za hivi karibuni huku wakiwa wamepewa Odds bomba PSG wakipewa 2.40 Man City 2.85 sare ikiwa na 3.80.
Klabu ya Real Madrid ambao mpaka sasa wamecheza michezo sita wakiwa na alama 9 ikimaanisha wameshinda michezo mitatu na kufungwa michezo mitatu, Hivo mchezo wao leo dhidi ya Red Bull Salzburg utakua wa muhimu sana kuhakikisha wanaitafuta nafasi ya kucheza mtoano. Bashiri sasa.
Mchezo mwingine ambao utakua wa kukata na shoka leo utakua mchezo kati ya Ac Milan dhidi ya klabu ya Girona. Mchezo wa huu ambao utapigwa pale katika dimba la San Siro utakua wenye ushindani mkubwa kutokana na hali ya vilabu vyote viwili kwenye msimamo wa michuano.
Mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya kukupa pesa leo. Bashiri na Meridianbet leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Mchezo mwingine mkali leo ni kati ya Sparta Prague Vs Inter Milan ambapo klabu ya Inter Milan inapewa nafasi nzuri ya kushinda huku Odds zao zikiwa nzuri pia ambapo Inter Milan wamepewa 1.37. Weka mkeka wako sasa kwa mchezo huu upige mkwanja.
Klabu ya Arsenal leo watashuka dimbani katika dimba lao la Emirates wakimenyana na klabu ya Dinamo Zagreb kutoka nchini Croatia mchezo huu kwa klabu ya Arsenal unakwenda kuihakikishia nafasi ya kucheza hatua ya 16 bora huku mchezo ukipewa Odds bomba. Jisajili hapa.
Halikadhalika klabu ya Rb Leipzig keo itaikaribisha klabu ya Sporting Lisbon kutoka nchini Ureno mchezo huu unatarajiwa kua na ushindani mkubwa kwelikweli na Meridianbet wamemwaga Odds za kutosha kupitia mchezo huu ambapo Rb Leipzig wamepewa 3.05 huku Sporting Lisbon wakipewa 2.25. Bashiri mchezo uweze kunyakua kitita cha kutosha.
ZINAZOFANANA
Mechi za UEFA kukutajirisha leo
Tusua kijanja na Meridianbet leo
Maliza wikendi na jamvi la uhakika hapa