January 18, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Gusa achia twende robo fainali yakwama

MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya MC Alger umegota mwisho huku mpango kazi wa Gusa achia twende robo fainali kwa Yanga ukikwama. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).
Yanga katika mchezo wa leo ilikuwa inahitajika kupata ushindi baada ya dakika 90 ubao Yanga 0-0 MC Alger.
Yanga inabaki nafasi ya tatu na pointi 8 huku MC Alger nafasi ya pili na pointi 9 wakitinga hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.
TP Mazembe 4-0 Al Hilal ambapo mabao ya TP Mazembe yamefungwa na Diof dakika ya 22, Keita dakika ya 29, Vundi dakika 58 na Shaiu dakika ya 89 kwa mkwaju wa penalti.

About The Author

error: Content is protected !!