December 22, 2024

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Meridianbet imekuletea promosheni ya kujizolea zawadi kibao

 

Leo hii wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wamekuletea promosheni ya kibabe ambayo inaitwa Saka Bajaji na Tigopesa ambayo itakufanya uondoke na zawadi mbalimbali. Ingia kwenye akaunti yako na uanze kuzisaka zawadi hizo.

Promosheni hii inawapa wateja fursa ya kipekee ya kushinda zawadi za thamani, zikiwemo Bajaji, simu za kisasa, na mizunguko ya bure 250 kila siku kwenye mchezo wa Kasino wa PIA.

Wateja wanaotumia mtandao wa Tigo ndio ambao wanaweza kujishindia zawadi hizo kwa kuweka shilingi 25,000 kwenye akaunti zao za Meridianbet na wabashiri tiketi za michezo au wacheze michezo ya kasino.

Kabla hujaendelea na promosheni kumbuka kubashiri na Meridianbet siku ya leo. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Ikumbukwe kuwa kila mteja anayeshiriki ana nafasi ya kushinda huku Meridianbet ikihakikisha kuwa washindi watapatikana bila kuwa na upendeleo wa aina yoyote. Wateja wanahimizwa kushiriki na kuweka fedha ili kujihakikishia nafasi ya kushinda.

Promosheni hii ya Saka Bajaji na Tigopesa itaanza tarehe 01 November 2024, na itaisha Desemba 31 2024 saa 5:59 usiku ambapo kadri unavyocheza mara nyingi ndivyo unavyojiweka kwenye nafasi kubwa ya kushinda zawaidi kibao.

ZAWADI ZINAVYOTOLEWA

  •     Zawadi za mizunguko ya bure 250 zitatolewa kwa wachezaji wote ambao wataweka elfu 25,000 au zaidi kupitia Tigopesa na kubashiri tiketi mbalimbali au kucheza kasino kiasi sawa na hicho kila siku.
  •     Simu zitatolewa kila Ijumaa ya kipindi cha promosheni kuanzia tarehe 01 Novemba ambapo simu jumla ya 20 zitatolewa.
  •     Vilevile kutakuwa na 10% ya bonasi kwa wale wateja ambao watakuwa wamepoteza pesa kuanzia Jumatatu hadi Jumapili ambazo zitawekwa kwenye akaunti zao kipindi cha promosheni.
  •     Kiwango cha juu cha bonasi ambacho Meridianbet watatoa ni 2,500,000 (Milioni mbili na laki tano tu).
  •     Zawadi kuu sasa ya promosheni hii ambayo ni Bajaji itatolewa kupitia droo kuu na mshindi atachaguliwa bila mpangilio kutoka kwenye orodha ya wachezaji ambao wameshiriki promosheni hii na kukidhi vigezo na masharti yake.
  • Na mwisho kabisa ni kuwa promosheni hii ya bajaji itafanyika tarehe 01 Januari 2025 makao makuu ya Meridianbet Upanga ambapo ndio siku ya mwisho ya  promosheni hii ya Saka Bajaji na Tigopesa.

About The Author

error: Content is protected !!