October 23, 2024

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Meridianbet yatoa msaada Mbezi Juu

Mabingwa wa michezo ya kubashiri leo wameibukia mitaa ya Mbezi juu jijini Dar-es-salaam na kuhakikisha wanatoa vifaa vya usafi kwenye moja ya hospitali ndani ya eneo hilo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Meridianbet wamekua kwenye utaratibu huo miaka na miaka wakihakikisha wanagawana najamii yao kila ambacho wamekivuna, Hii imewafanya kwa mara nyingine kurejea kutoa vifaavya usafi kwenye hospitali ya Ndumbwi inayopatikana Mbezi.

Hospitali ya Ndumbwi kwa mara ya kwanza inapokea msaada wa vifaa vya usafi kutoka kwamabingwa wa michezo ya kubashiri mapema, Huku wakionesha kufurahishwa na jambo hilolililofanywa na kampuni ya Meridianbet.

Bado mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wanaendelea kuhakikisha unapigwamkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali inayopigwa haswa michuano ya ligi yamabingwa ulaya inayopigwa katikati ya wiki hii ambapo wanaendelea kumwaga ODDS BOMBA kila siku.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Masoko ndani ya Meridianbet alipata nafasi yakuzungumza machache katika hafla hiyo Tunatambua umuhimu wa usafi wa mazingiramaana usafi ni afya ndio maana leo tumeweza kuleta vifaa hivi katika hospitali hii kwadhumuni la kuimarisha usafi katika mazingira ya hospitali na kuondokana na magonjwayatokanayo na uchafu“.

Aidha Diwani wa eneo la Mbezi Juu Bi Anna Lukindo ambaye alikuepo kwenye tukio hiloalipata nafasi ya kuzungumza machache juu ya jambo hilo la kiungwana lililofanyika Kiukwelinipende kuwashukuru Meridianbet kwa kufika katika hospitali yetu ya Ndumbwi nakuweza kutoa vifaa vya usafi ambavyo vitasaidia kuhakikisha mazingira ya hospitali yetuyanakua makazi, Niwape pongezi kwa jambo hilo wasiishie hapa tu waendelee kuwashikamkono na wengine

About The Author