Usiku wa ligi ya mabingwa ulaya siku hizi unapigwa mpaka Alhamisi na leo vipute kadhaa vitaendelea katika viwanja mbalimbali barani ulaya, Huku ukiwa na uwezo wa kunyakua mkwanja kupitia michezo hiyo.
Mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet wapo kuhakikisha unajinyakulia maokoto ya kutosha kupitia usiku wa ulaya, Kwani wametoa Odds bomba sana katika michezo ambayo itachezwa usiku wa leo.
Klabu ya Arsenal kutoka nchini Uingereza wamesafiri mpaka nchini Italia kwenda kukabiliana na mabingwa michuano ya Europa msimu uliomalizika klabu ya Atalanta, Mchezo ambao unatarajiwa kua na mvuto wa hali ya juu.
Klabu ya Atletico Madrid leo watakua na kibarua kizito katika dimba lao la Wanda Metropolitano pale watakapokua wanamenyana na klabu ya Rb Leizpzig kutoka nchini Ujerumani, Hivo mchezo huu unaweza kukupa mkwanja wa kutosha.
Klabu ya Feyernoord mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uholanzi watakua nyumbani kuwakaribisha mabingwa watetezi wa Ujerumani klabu ya Bayern Leverkusen, Mchezo ambao unatizamiwa kua wenye ushindani na wa kimbinu zaidi.
Klabu ya Barcelona ambayo iko kwenye fomu nzuri tangu msimu uanze chini ya kocha Hans Flick leo watakua nchini Ufaransa kama wageni kumenyana na klabu ya Monaco, Je Barcelona wataendeleza moto wao leo dhidi ya Monaco? Majibu yatapatikana baada ya dakika tisini.
Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko sehemu yeyote ile, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.
ZINAZOFANANA
Jogoo Veterean yafurahia ujio wa Meridianbet
Wikendi inaanza kwa kubashiri na Meridianbet leo
Leo hii una nafasi ya kuondoka bingwa ukiwa na Meridianbet