Wewe mteja wa Meridianbet una nafasi ya kuifanya wiki yako kua ya ushindi kwa kushinda mamilioni kupitia michuano ya Uefa Nations League ambayo itakwenda kupigwa leo katika viwanja mbalimbali.
Kipindi hiki ambacho ligi zimesimama haupaswi kukakaa kinyonge kwani michuano ya Uefa Nations League itaendelea kupigwa na imepewa Odds za kibabe kabisa pale kwenye tovuti ya Meridianbet, Hivo ni wewe tu kuweka ubashiri wako na kushinda kitita.
Moja ya michezo mikali ambayo itachezwa leo itakutanisha timu ya taifa ya Ureno mabingwa wa michuano ya Uefa Nations League 2019 dhidi ya wanafainali wa michuano hiyo mwaka 2024 timu ya taifa ya Croatia, Huku Ronaldo kule Modric mchezo ambao unatarajiwa kua mkali na wenye ushindani mkubwa .
Mabingwa wa michuano ya Euro 2024 timu ya taifa ya Hispania leo watakua ugenini kumenyana na timu ya taifa ya Serbia, Mchezo huu Hispania wamepewa nafasi kubwa ya kushinda na wamepewa Odds nzuri sana ndani ya Meridianbet.
Kipute kingine kitachezwa pale kwenye dimba la Hampden Park ambapo timu ya taifa ya Scotland watakua nyumbani kuwakaribisha timu ya taifa ya Poland, Mchezo huu utakua mkali kwani timu zote mbili hazijapishana sana kwenye ubora na yeyote kati yao anaweza kuibuka mshindi katika mchezo huu.
Denmark watakua nyumbani leo kumenyana na timu ya taifa ya Uswisi kwenye michuano ya Uefa Nations League, Timu hizi zimekua zikipeana mchezo mgumu kila zinapokutana michezo mitatu ya mwisho wametoka sare mara mbili na Denmark kushinda mara moja hivo mchezo wa leo unatarajiwa kua mkali na mgumu pia.
Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko sehemu yeyote ile, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.
ZINAZOFANANA
Jogoo Veterean yafurahia ujio wa Meridianbet
Wikendi inaanza kwa kubashiri na Meridianbet leo
Leo hii una nafasi ya kuondoka bingwa ukiwa na Meridianbet