Maisha yanaweza kuwa mepesi ukiwa na wakali wa ubashiri Meridianbet kwani hapa unaweza kutengeneza jamvi lako la uhakika. Mechi za ushindi zipo nyingi kutoka ligi mbalimbali hivyo anza safari yako hapa.
Ligi kuu ya Italia yaani SERIE A itaendelea kwa michezo mingi, lakini leo hii Meridianbet tutaangazia mechi kali na ya kibabe kabisa kati ya Inter Milan vs AS Roma huku tofauti yao hadi sasa kwenye ligi ni 15 pekee huku kila timu ikiutazama mchezo huu kwa hali na mali.
Inter Milan wakiwa kama vinara wa ligi chini ya kocha mkuu Christian Chivu wamekuwa na kiwango kabisa msimu huu huku malengo yao yakiwa ni kushinda Scudetto ambapo msimu uliopita ni kama walinyang’anywa tonge mdomoni baada ya kukaa kileleni kwa muda mrefu na baadae kuja kupinduliwa na Napoli.
Kwa upande wa AS Roma wao mpaka sasa wapo nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi na wanaichukulia mechi hii kama ni mechi ya kupata ushindi, lakini wanakutana na Inter ambao wanataka waendelee kushikilia nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi. Je beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo pale Meridianbet?.
Shinda pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kihistoria, mechi kati ya timu hizi mbili zimekuwa na ushindani mkubwa na mara nyingi huamuliwa na matukio madogo iwe ni kosa la mchezaji mmoja, ubunifu wa kipekee, au mpira wa adhabu. Hii inaifanya mechi hii kuwa ya tahadhari kubwa kwa pande zote mbili, kwani hakuna timu itakayopenda kufanya makosa ya mapema.
Takwimu zinaonesha kwamba mara ya mwisho kukutana hawa wawili Inter aliondoka na ushindi, hivyo ni mechi ya kisasi kwa wageni. Lakini wenyeji wana wachezaji wenye uwezo mkubwa akiwemo Lautaro Martinez, Thuram, Federico Dimarico, Khan an wengine wengi.
Je nafasi ya kushinda mechi hii unampa nani?. Odds kubwa zipo kwenye mechi hii pale Meridianbet. Kila timu inahitaji kuondoka na ushindi mnono ijiweke kwenye nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi.
Kule Ufaransa pia LIGUE 1 itaendelea kwa mechi kibao lakini hii hapa ndio mechi ya kibabe kati ya AS Monaco dhidi ya Marseille ambapo mpaka sasa kwenye msimamo wa ligi tofauti yao ni pointi 3 pekee, hivyo mechi hii ni muhimu kwa wote wawili. Meridianbet wanasema kuwa unaweza pia kutengeneza pesa kupitia mechi hii.
AS Monaco wanajulikana wapo vizuri kwenye kushambulia kwa kasi na ubunifu mkubwa hasa kupitia vijana wao wenye vipaji. Mara nyingi hucheza kwa mpira wa haraka, wakitumia pembeni mwa uwanja na mipira ya kushtukiza kuvunja safu za wapinzani.
Kwa upande wa Marseille, wao ni timu yenye mchanganyiko wa nguvu za kimwili na nidhamu ya kimkakati. Wanapenda kucheza kwa presha na kupambana katikati ya uwanja, wakijaribu kuvuruga mipango ya mpinzani kabla ya kujenga mashambulizi yao. Tofauti na Monaco, Marseille huwa na mtazamo wa tahadhari zaidi, wakihakikisha kwanza wanakuwa imara nyuma kabla ya kusonga mbele.
Pia, ubora wa kutumia nafasi utakuwa na mchango mkubwa. Mechi kama hizi mara nyingi hazitoi nafasi nyingi wazi, hivyo timu itakayokuwa makini zaidi mbele ya lango ndiyo itakayokuwa na faida.
Monaco wana uwezo wa kuunda nafasi nyingi, lakini wanahitaji kuwa na umakini mkubwa katika kumalizia. Marseille kwa upande wao, wanahitaji kutumia vizuri nafasi chache watakazopata, hasa kupitia mashambulizi ya kushtukiza.
Hii ni mechi ya mbinu kali kutoka kwa makocha wawili yaani Sebastien Pocognoli wa Monaco ambaye anahitaji ushindi huu kwa hali na mali ajiweke kwenye nafasi znuri halikadhalika pia vijana wa Habib Beye nao wanataka ushindi kuendelea kusalia nafasi za juu kwenye msimamo wa ligi.
Mara ya mwisho walipokutana Marseille waliondoka na pointi 3 japokuwa ilikuwa ni ushindi mwembamba, lakini leo wenyeji wanataka kulipa kisasi. Je wataweza kuondoka na ushindi nyumbani kwao?. Jisajili hapa.
ZINAZOFANANA
Rais Tshisekedi awatunuku nyumba na gari kila mchezaji kwa kufuzu kombe la Dunia
Ratiba ya mwisho: Je, hii ndio mechi ya kuamua mshindi?
Leo ndio siku yako ya kutusua na Meridianbet