Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu hapa suka jamvi lako sasa na uanze kubashiri hapa.
COPPA ITALIA pia hatua ya Robo Fainali utapigwa mchezo mmoja kati ya Bologna dhidi ya Lazio ambapo kwenye ligi mgeni alipoteza. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Je nani kuibuka mbabe kwenye Kombe hili la Italia?. Suka jamvi lako hapa.
Vilevile kule Ujerumani, DFB POKAL kuna mechi ya kibabe ya Robo Fainali kati ya Bayern Munich dhidi ya RB Leipzig huku kwenye ligi mechi zote mbili walizokutana, vijana wa Kompany wameibuka wababe. Je leo hii nani unampa nafasi ya kushinda mtanange huu?. Beti hapa.
Pesa ipo nyingi kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
EPL kule Uingereza kuna mechi zitakazoendelea kibabe kabisa ambapo Aston Villa ataumana dhidi ya Brighton huku tofauti yao ikiwa ni pointi 15 hadi sasa. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Unangoja nini sasa kutengeneza jamvi lako la ushindi hapa?. Beti sasa.
Mechi nyingine ni hii ya Manchester City dhidi ya Fulham huku mechi ya kwanza kwenye ligi kuonana vijana wa Pep Guardiola waliondoka na ushindi. Leo hii mgeni anataka kulipa kisasi. Je ataweza kufurukuta pale Etihad?. Nafasi ya kushinda pale Meridianbet wamempa City. Bashiri sasa.
Liverpool atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Sunderland ambao wapo nafasi ya 8 huku wageni woa wakiwa nafasi ya 6. Tofauti yao hadi sasa ni 3 huku vijana wa Slot wakihitaji ushindi mnono ili kujiweka karibu na kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Jisajili hapa.
ZINAZOFANANA
Meridianbet kukupatia ushindi mkubwa leo
Mechi moto, Odds kubwa! Bashiri na Meridianbet ujishindie leo
Tengeneza pesa mechi za leo na Meridianbet