February 3, 2026

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Anza siku yako vizuri kwa kubashiri na Meridianbet

 

Je unajua kuwa unaweza ukaanza siku yako vyema kabisa na Meridianbet?. Mechi zipo yingi za kukupa ushindi mkubwa leo. Ingia kwenye akaunti yako na utengeneze jamvi la ushindi sasa.

SERIE A kule Italia itaendelea kwa mchezo mmoja ambapo Bologna atamleta kwake AC Milan ambao wanashika nafasi ya 2 huku wenyeji yeye akiwa nafasi ya 9. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.

Kwa upande wa Hispania, kutakuwa na Copa del Rey ambapo itapigwa mechi moja kati ya Albacete dhidi ya FC Barcelona ambao ndio vinara wa ligi kuu ya Hispania. Wenyeji wao wanashiriki ligi daraja la kwanza yaani Segunda 2. Hii ni mechi ya Robo fainali ambayo kila timu inahitaji kushinda. Je beti yako unaiweka nani siku ya leo?. Jisjaili hapa.

Tengeneza pesa kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kule Uingereza itapigwa mechi ya Nusu Fainali ya Carabao kati ya Arsenal vs Chelsea ambapo The Blues wataingia uwanjani kusaka ushindi dhidi ya vijana wa Arteta ambapo mechi ya kwanza walipoteza. Kila timu inahitaji ushindi ili iweze kucheza Fainali ya michuano hii. Je nani anaondoka na ushindi siku ya leo?. Tandika jamvi hapa.

Pia Ujerumani, DFB CUP hatua ya Nusu Fainali kuendelea ambapo Bayer Leverkusen atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya S.T Pauli ambapo mara ya ,mwisho walikutana kwenye ligi, mwenyeji aliondoka na ushindi. Hivyo hii ni nafasi ya mgeni kuondoka na ushindi siku ya leo. Bashiri hapa.

Coupe de France kule Ufaransa itaendelea kwa mechi mbili zitendelea ambapo Reims atakipiga dhidi ya Le Mans ambapo mara ya mwisho kukutana kati yao mwenyeji aliondoka na ushindi mwembamba. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii siku ya leo. Jisajili hapa.

Mechi nyingine ni hii ya Marseille vs Rennes ambapo mara ya mwisho kukutana kati yao mgeni alipasuka. Leo hii kwenye Kombe la Ufaransa anaweza akalipa kisasi?. ODDS KUBWA zipo hapa, hivo ingia kwenye akaunti yako na ubeti hapa.

About The Author

error: Content is protected !!