January 29, 2026

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Nafasi ya kuondoka na mkwanja ipo Meridianbet leo

Leo ndio leo asemaye kesho muongo, hii ni kauli ya waswahili ambayo ina maana kuwa jambo ambalo linawezekana leo lifanyike leo na Meridianbet inakwambia kuwa suka jamvi lako la ushindi mechi za EUROPA ujiweke kwenye nafasi ya Mamilionea.

Lille atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Freiburg ya Ujerumani ambapo tofauti yao ni pointi 8 pekee. Meridianbet wanakwmabia kuwa unaweza ukapiga pesa kwa kubashiri mtanange huu wa leo. Unangoja nini sasa?. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti leo.

Mechi nyingine ya kubeti ni hii ya Lyon vs PAOK ambapo pointi 6 ndioz ambazo zinawatofautisha. Mwenyeji yeye yupo juu kwenye msimamo wa ligi huku mgeni yeye akishika nafasi ya 12. Takwimu zinasema kuwa hii ndio mara ya kwanza hawa wawili kukutana. Je nani kushinda leo?. Suka jamvi hapa.

Pesa ipo kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Aston Villa atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Salzburg ambao mpaka sasa kwenye mechi 7 walizocheza wana pointi 6 pekee. Villa chini ya Unai hadi sasa wapo nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi 18. Meridianbet wanampa mwneyeji nafasi kubwa ya kushinda leo. Wewe unampa nani beti yako?. Jisajili hapa.

Kwa upande wa FC Basel atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Viktoria Plzen ambao wapo nafasi ya 17 huku wenyeji wao wakiwa nafsi ya 27. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 5 pekee huku mechi hii ikipewa ODDS KUBWA pale Meridianbet. Bashiri hapa.

Baada ya kutoa sare mechi iliyopita, leo hii FC Porto atakiwasha dhidi ya Rangers ambao wapo nafasi ya 31 na pointi zake 4 kwenye mechi 7 alizocheza, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 9 na pointi zao 14. Je nani kuondoka kifua mbele leo?. Tandika jamvi hapa.

Nao Genk watakuwa kibaruani dhidi ya Malmo ambao wanashika nafasi ya 2 kutoka mwisho kwenye msimamo wa Europa wakiwa na pointi 1 pekee kwenye mechi 7. Mara ya mwisho kukutana kati ya hawa wawili walitoa sare. Leo kila mtu anahitaji pointi 3, je siku ya leo nani kuibuka mbabe?. Jisajili hapa.

About The Author

error: Content is protected !!