December 22, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Suka jamvi na mechi za AFCON leo

AFRICA CUP OF NATIONS( AFCON) 2025 haya ni mashindano ya soka barani Africa ambayo yanatarajiwa kufanyika huko nchini Morocco kuanzia tarehe 21 Desemba 2025 hadi 18 Januari 2026 ambapo timu mbalimbali zimejiandaa kwaajili ya kuhakikisha wanachukua Kombe hili.

Muundo wa mashindano haya upo kwenye Makundi ambapo timu 24 ndio ambazo zimefuzu kushiriki michuano hii ambapo timu hizo zimegawanywa kwenye makundi 6 yenye timu 4 kila kundi.

Timu mbili za juu kwenye kila Kundi na timu 4 ambazo zitakuwa kwenye tatu bora ndizo ambazo zitaenda hatua ya 16 bora kwenye michuano hii. Wakati huo huo wewe mteja wa Meridianbet una nafasi ya kujishindia mapene kwenye michuano hii na Meridianbet.

Hii ni mara ya pili kwa Morocco kuwa mwenyeji wa michuano hii mikubwa Barani Africa kwa ngazi ya Mataifa tangu hapo 1988 huku mechi nyingi zikipangwa kupigwa katika miji mbalimbali ikiwemo, Rabat, Casablanca, Agadir, Marrakech, na mingine mingi.

Piga pesa ndefu kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Timu mwenyeji ambaye ni Morocco yeye amapenda Kundi A na ndiye ambaye atafungua pazia la michuano hii kwa kukipiga dhidi ya Comoros ambao hawapewi nafasi kubwa ya kushinda mechi hii pale Meridianbet.

Lakini pia kuelekea michuano hii ya AFCON kuna timu ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kuondoka na ubingwa ikiwemo Morocco ambaye ni mwenyeji wa michuano hii, lakini pia ikiwa ni timu ambayo ina kikosi bora kabisa cha kutetea taji hilo.

Timu nyingine ni Egypt ambayo ni moja ya timu ambayo ina mataji mengi ya Kombe hili, ambapo mpaka sasa inayo mataji 7, lakini pia ikiwa ndiyo timu ya kwanza kushinda mataji haya mara 3 mfululizo hadi sasa.

Pia Senegal nayo ni timu nyingine ambayo inapewa nafasi kubwa kabisa ya kushinda taji hili la AFCON msimu huu kutokana na uzoefu wa michuano hii pamoja na ukubwa wa kikosi ambacho wanacho chenye wachezaji bora chini ya kocha mkuu Pape Thiaw ambaye alirithi mikoba ya Aliou Cisse. Je beti yako utampa Simba wa Teranga kuchukua ubingwa huu?. Bashiri na Meridianbet.

Bingwa mtetezi wa Mashindano haya Ivory Coast nao wapo kwenye nafasi ya kuchukua kombe hili la Mataifa Africa baada ya kuonesha ushindani mkubwa mara ya mwisho na kubeba taji hili. Lakini pia timu ya Taifa ya Nigeria nayo inapewa nafasi ya kutoa upinzani mkali kuelekea michuano hii.

Je mwaka huu wa 2025 nani atabeba Kombe hili la AFCON kule Morocco?. Meridianbet inakwambia ni rahisi kujipigia pesa hapa. Ingia sasa na uanze safari yako ya ushindi leo.

About The Author

error: Content is protected !!