November 9, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Piga mkwanja na Meridianbet leo

Je unajua kuwa siku ya leo unaweza ukapiga mkwanja wa uhakika na Meridianbet?. Mechi kibao kuendelea huku nafasi ya wewe kuondoka na mzigo wa kutosha ikiwa wazi kabisa. Usisubiri kuhadithiwa, ingia na ubeti hapa.

Ligi pendwa Duniani, yaani EPL, inatarajiwa kuendelea kwa michezo mingi ya pesa bashiri mechi ya Aston Villa vs AFC Bournemouth huku mechi ya mwisho kukutana, Villa aliondoka na ushindi. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 3 pekee. Suka jamvi lako mechi hii.

Pia kule katika dimba la Selhurst Park kutakuwa na mtanange mkali kati ya Crystal Palace vs Brighton ambapo hawa wawili hawajapishana sana pointi kwani mpaka sasa ni pointi 1 pekee inayowatofautisha. Msimu uliopita, Palace aliondoka na ushindi mechi zote mbili. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Jisajili hapa.

Na mechi kali kabisa wikendi hii itakuwa pale Etihad ambapo Manchester City ataumana dhidi ya Liverpool ambapo msimu uliopita kwenye mechi mbili walizokutana walishinda zote. Safari hii Pep Guardiola anataka kulipa kisasi na kuendelea kusalia nafasi ya 2. Je nani kushinda mechi hii?. Bashiri hapa.

Cheza michezo ya kasino leo upige pesa kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

LALIGA kule Hispania nayo itaendelea ambapo bingwa wa mtetezi wa ligi Real Madrid atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Rayo Vallecano ambao wapo nafasi ya 10, huku takwimu ikionesha kuwa msimu uliopita Real waliondoka na pointi 4. Je Alonso kuchukua ushindi huu na kuendelea kukaa kileleni?. Beti hapa.

Vilevile Real Betis atakiwasha dhidi ya Valencia kule ugenini huku wakali wa ubashiri Meridianbet wakiipa mechi hii ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Kila mtu anataka ushindi siku ya leo. Je wewe pesa yako unaiweka kwa nani akupatia mkwanja?. Suka jamvi hapa.

Nao Celta Vigo wao watawaleta nyumbani kwao vijana wa Hans Flick FC Barcelona ambao wanashika nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi. Barca wanahitaji ushindi siku ya leo wajiweke kwenye nafasi nzuri ya kuwania ubingwa. Je mwenyeji ataweka kikwazo kwenye kupata ushindi?. Tengeneza jamvi hapa.

Unaweza pia kupiga pesa kwenye mechi za ligi kuu ya Italia, SERIE A, ambapo bingwa mtetezi Napoli atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Bologna ambao wapo nafasi ya 5 hadi sasa wakiwa wameshinda mechi 5 pekee hadi sasa. Tofauti yao ni pointi 4 pekee. Beti hapa.

Pia naye AS Roma ambaye anaitaka Scudetto msimu huu, wataumana dhidi ya Udinese huku msimu uliopita waliondoka na ushindi mnono kwenye mechi mbili zote walizokutana. Je Roma kuendeleza ushindi wao?. Jisajili hapa.

Inter Milan nao watakuwa kibaruani dhidi ya Lazio ambao mechi iliyopita walishinda halikadhalika kwa mwenyeji wake. Mtanange wa mwisho kukutana walitoa sare. Je leo hii beti yako unaiweka kwa nani?. Bashiri hapa.

Kule Ufaransa LIGUE 1 kitawaka sana Metz atakuwa nyumbani kusaka pointi 3 dhidi ya Nice ambao wametoka kupoteza mechi iliyopita. Mwenyeji yeye pia alipoteza mechi yake iliyopita. Hivyo leo hii ushindi ni wa muhimu sana kwa wote. Je anaweza kuondoka na ushindi?. Beti hapa.

Strasbourg atakuwa uso kwa uso dhidi ya Lille ambao wapo nafasi ya 4 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 7. Tofauti kati yao ni pointi 1 pekee, huku mechi hii ikiwa na machaguo zaidi ya 1000 pale Meridianbet. Unangoja nini suka jamvi lako hapa na ushinde.

Bingwa mtetezi PSG yeye atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Lyon ambao msimu uliopita walipokutana, vijana wa Enrique walishinda mechi zote mbili walizokutana. Je sasa ni wakati wa Lyon kulipa kisasi dhidi ya wababe wa ligi hiyo?. Bashiri hapa.

About The Author

error: Content is protected !!