
Wadau wa soka Ulaya wanakutana na siku ya aina yake leo, viwanja vinawaka moto, na mashabiki wanashuhudia vita vya pointi, ilhali kwa mabashiri kuna fursa za dhahabu kupitia Meridianbet.
Kule Villa Park, Aston Villa wanaingia dimbani wakiwa bado hawajapata ladha ya ushindi msimu huu. Lakini wakicheza nyumbani, historia inasema hawafi kirahisi. Wageni wao Fulham wakiwa na rekodi ya ushindi mara mbili, sare mbili na wamepoteza mchezo mmoja pekee. Meridianbet imeweka odds tamu zinazoweza kubadilisha tiketi yako kuwa faida ya haraka.
Kisha Newcastle wanavalia silaha kupambana na Arsenal. Mchezo huu ni kivutio cha kila shabiki. Arsenal wanasaka matokeo ili kuhakikisha wanaendelea kuwakimbiza Liverpool kwenye kinyang’anyiro cha ubingwa lakini St. James’ Park ni dimba gumu kwa wageni. Odds za faida zinangoja mbashiri jasiri.
Vilevile, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds kabambe. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#
Katika La Liga, Rayo Vallecano wanataka kuondoka kwenye kivuli cha matokeo mabovu kwa kushinda dhidi ya Sevilla. Dakika chache baadaye, Elche wanawakaribisha Celta Vigo, huku rekodi ya kutopoteza nyumbani ikiwapa jeuri ya kudai heshima.
Lakini usiku ndio ladha halisi, Barcelona wanakipiga na Real Sociedad pale Camp Nou. Bila Lamine Yamal, Hansi Flick bado ana kikosi kinachoweza kufanya makubwa uwanjani. Sociedad wakiwa na mwanzo mbaya wanaenda kukumbana na kizingiti kigumu. Odds za Meridianbet zinawashawishi wenye ndoto za mkwanja mkubwa.
San Siro inapokea kivumbi cha AC Milan dhidi ya Napoli. Rossoneri wakiwinda nafasi ya kileleni, Napoli ya Conte wakiwa kileleni na rekodi ya kutopoteza hata mchezo mmoja, ni mechi yenye joto la ubingwa.
Na Stadio Olimpico inakua jukwaa la mchezo kati ya Roma dhidi ya Verona. Roma wakiwa nafasi ya nne, wanaonyesha njaa ya kutwaa taji. Verona kwa upande mwingine wanapambania kubaki kwenye msimamo wa kuwaruhusu kubaki ligi kuu. Odds kwenye mchezo huu ni silaha yako ya kugeuza bashiri kuwa hazina.
Jumapili hii si ya kawaida, ni siku ya kulifurahia soka, ni siku ya kuvuna kupitia odds kubwa na machaguo mapana ya Meridianbet.
ZINAZOFANANA
Jumamosi hii ni Uingereza na nafasi ya ushindi kutoka Meridianbet
Usiku wa Europa League na fursa za ushindi na Meridianbet
Simbu atoboa siri ya ushindi wa Tokyo, aishukrani NBC Dodoma Mathon