July 12, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Mkwanja mrefu upo Meridianbet sasa

 

Jumamosi ya leo ndani ya Meridianbet kuna mechi kibao za kirafiki zinachezwa huku ODDS zao zikiwa zimenona kabisa. Ingia kwenye akaunti yako uweke dau na uanze safari ya kuwa milionea leo.

AZ Alkmaar atakuwa mwenyeji wa Almere City FC ambapo timu zote zinatoka kule Uholanzi. Mara ya mwisho kukutana timu hizi walitoka sare ya kufungana bao 1-1. Je leo hii nani kuondoka na ushindi ambapo ODDS zao ni 1.30 kwa 6.60. Bashiri hapa.

Nao Lille OSC kutoka Ufaransa watakuwa wakijipima nguvu dhidi ya Amiens SC kutoka kule huko huko Ufaransa lakini wao wanacheza Ligue 2. Meridianbet wameipa mechi hii machaguo zaidi ya 1000, ikiwemo magoli, kona, faulo nakadhalika. Hivyo ingia kwenye akaunti yako na ubeti mtenange huu sasa.

Nae SCR Altach atakuwa akipepetana dhidi ya FC Luzern ambao ndio wanaopewa nafasi ya kushinda leo pale Meridianbet wakiwa na ODDS 2.09 kwa 2.95. Mwenyeji anakipiga kule Austria na mgeni wake anakipiga kule Uswizi. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili sasa.

Leo hii unaweza ukacheza michezo ya kasino kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

Mechi nyingine ya kusuka jamvi ni hii ya FC Toulouse FC dhidi ya Pau FC ambao wanakipiga kule Ufaransa LIGUE 2 wakati wenyeji wao wanakipiga LIGUE 1. Ni vita ya mkubwa na mdogo na kukurahisishia Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.43 kwa 5.70. Suka jamvi hapa.

Baada ya Leicester City kushuka daraja na sasa atakuwa anacheza Championship kule Uingereza, leo hii atakuwa akipimana nguvu dhidi ya OUD-Heverlee Leuven ambao hawapewi nafasi ya kushinda mechi hii wakiwa na ODDS 3.30 kwa 1.70. Wewe unampa nani beti yako?. Tandika jamvi hapa.

FC Nantes naye atakuwa nyumbani kumkaribisha Stade Lavallois MFC ambao wanacheza LIGUE 2 kule Ufaransa. Wenyeji wao wanacheza ligi kuu huku msimu uliopita wakimaliza nafasi ya 13. Je nani kuondoka na ushindi leo?. Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Bashiri sasa.

Kwa upande wa Cardiff City yeye ataumana dhidi ya Southend United ambayo inacheza National League kule Uingereza. Wenyeji wao wanacheza Championship. 1.57 kwa 4.20 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi lako hapa.

Bingwa wa Uturuki, Galatasaray Instanbul atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Umraniyespor ambao hawapewi nafasi yoyote kushinda leo wakiwa na ODDS 14 kwa 1.11. Ongezea mechi hii kwenye mkeka wako uongeze kipato chako na Meridianbet leo.

Vilevile mechi nyingine ni hii ya Sevilla vs Birmingham City ambayo itapigwa majira ya saa 4:00 usiku. Nafasi ya kuondoka na ushindi amepewa mwenyeji akiwa na ODDS 1.78 kwa 3.80. Je ushindi wako wewe unauweka kwa nani hapa?. Jisajili sasa.

About The Author

error: Content is protected !!