
Ni Jumatatu nzuri kabisa ya mwezi Juni ambayo wewe kama mteja wa Meridianbet hauna haja ya kujiuliza utapiga pesa wapi. Sehemu ni moja tuu napo ni Meridianbet ndani ya promosheni yao inayoendelea ya kubashiri na GG&3+ na kushinda mara mbili.
Bado mashindano ya Kombe la Dunia ngazi ya vilabu yanaendelea huko Marekani ambapo tayari timu zingine zimeshafuzu hatua inayofauta na zingine bado zinatafuta nafasi hiyo. Na ikumbukwe kuwa mpaka sasa karibia timu zote zimebakiza mechi moja moja kuamua hatma yao kwenye mashindano haya huku zingine zikiaga mashindano kabla hata mechi ya mwisho.
Leo hii mabingwa wa Ulaya PSG baada ya kupoteza mechi yao iliyopita leo hii watakipiga dhidi ya Seattlers Sounders ambao hawajashinda mechi yoyote. Vijana wa Luis Enrique wanahitaji ushindi kufuzu hatua inayofuata. Meridianbet wanakwambia beti mechi hii kwa chaguo la GG&3+ kushinda mara 2 zaidi.
Ndani ya Meridianbet kuna michezo kibao ya kukupatia mkwanja leo kama vile Poker, Keno, Roulette, Aviator, Superheli hivyo ingia na ukusanye maokoto zaidi na zaidi. Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
SHERIA ZA PROMOSHENI HII
● Promosheni hii ni halali kwa watumiaji wa Meridianbet pekee
● Promosheni hii itakuwa hai leo hii tarehe 23 mwezi Juni 2025 hadi saa 4:00 usiku ambapo mechi itaanza
● Pia promosheni hii itakuwa halali kwa watumiaji wote ambao angalau wameweka TZS 500 kwenye akaunti yao ya Meridianbet siku hiyo na wameweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mchezo wa Settles Sounders vs PSG kwa chaguo la GG&3+ ambapo watapata bonasi kama ifuatavyo,
Mchezaji yoyote aliyeweka beti ya mkeka wenye mechi zake pamoja na mechi ya Settlers Sounders vs PSG (kiasi cha chini 10000 TZS), atapata bonasi sawa na dau lake (kiwango cha juu 60000 TZS).
Sharti la bonasi hiyo ni kuwa lazima mechi ya Settlers Sounders vs PSG imalizike kwa timu zote mbili kufunga na jumla ya magoli kuwa angalau 4.
BONASI YA 2
● Mchezajia atapata marejesho ya bonasi ya 50% ya dau lake hadi (20000)
● Sharti la bonsai hii; Mchezo wa Settlers Sounders vs PSG lazima umalizike kwa suluhu yaani 0-0
● Tiketi za TurboCash ni batili kwenye promosheni hii na ofa hii ni halali kwa mtumiaji mmoja. Hivyo fuata masharti yanayotakiwa ili kujiweka kwenye nafasi ya ushindi wa bonasi kwenye mchezo huu mkali wa kusisimua. Jisajili na ubashiri sasa.
ZINAZOFANANA
Ushindi mkubwa upo mechi ya Inter Miami vs FC Porto
Ligi Kuu Uingereza kurejea Agosti 15, wabashiri wa Meridianbet kaa tayari
Real Madrid vs Al Hilal kukupatia faida mara 2 leo