
Mkwanja utakuepo wa kutosha leo pale Meridianbet kwa wapenzi wa michezo ya kubashiri kwani michezo mbalimbali leo itakuepo kutoka kwenye ligi tofauti tofauti ambayo itakwenda kutoa fursa ya kunyakua kitita kizito.
Licha ya kuweza kubashiri na kupiga mkwanja lakini pia Meridianbet wanakupa fursa ya mkeka wako mapema kupitia chaguo la Early payout, Bashiri michezo mbalimbali leo uweze kushinda kitita
EPL
Manchester United watakipiga leo dhidi ya Ipswich kwenye dimba lao la nyumbani la Old Trafford mashetani wekundu wamepewa Odds bomba pale Meridianbet, Hivo unaweza kunyakua mkwanja kwa kuwabashiria katika mchezo wa leo.
Tottenham Hotspurs baada ya kutoka kupata matokeo mazuri kwenye michezo miwili iliyopita leo watakipiga na Man City ambao wametoka kujeruhiwa michezo ilimalizika, Mchezo huu umepewa Odds nono haswa kwenye upande wa magoli kwani mchezo huu umekua ukitoa magoli ya kutosha.
Vinara wa ligi kuu ya Uingereza leo klabu ya Liverpool leo watakua nyumbani kumenyana na klabu ya Newcastle mchezo ambao utakua wamoto kwelikweli, Pitia pale kwenye tovuti ya Meridianbet uweze kubashiri mchezo huu na ushinde.
COPA DE LE REY
Klabu ya Real Madrid itakua ugenini leo ikimenyana na klabu ya Real Sociedad kwenye mchezo wa nusu fainali wa kombe la mfalme nchini Hispania, Mchezo huu Real Madrid wamepewa nafasi na Odds nzuri kushinda bashiri sasa uibuke na kitita.
COPPA ITALIA
Klabu ya Juventus leo watacheza dhidi ya Empoli kwenye mchezo wa robo fainali wa kombe la Coppa Italia, Mchezo umepewa Odds bomba sana kwa timu zote mbili hivo unaweza kuuweka kwenye jamvi lako uweze kushinda maokoto ya kutosha.
ZINAZOFANANA
Piga mzigo wa maana na Meridianbet leo
Rising Star FC na kamili Gado FC zapewa jezi
UEFA Europa League moto utawaka leo