January 15, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

EPL, Serie A, Bundesliga kinawaka leo

Ligi kadhaa kubwa barani ulaya zitaendelea kuchezwa usiku wa leo huku ukipata nafasi ya kuweza kupiga mkwanja Meridianbet kupitia michezo ambayo itachezwa katika ligi hizo.

Pale ligi kuu ya Uingereza itapigwa michezo kadhaa, ligi kuu ya Ujerumani halikadhalika itapigwa michezo kadhaa, bila kusahau ligi kuu ya Italia ambayo nayo itashuhudia mchezo mkali ambao utachezwa pale San Siro.

Ligi kuu ya Uingereza leo itapigwa michezo kadhaa lakini mchezo ambao utatupiwa macho zaidi ni mchezo kati ya klabu ya Arsenal dhidi ya Tottenham Hotspurs ambao utapigwa pale kwenye dimba la Emirates mchezo huu unatarajiwa kua mkali kwelikweli kwani ni mchezo huo ni mchezo wa wapinzani wa jadi.

Michezo mingine ambayo itachezwa leo katika ligi kuu ya Uingereza itazikutanisha timu kama Everton Vs Aston Villa, Newcastle Vs Woves, bila kusahau klabu ya Leicester City wataikaribisha klabu ya Crystal Palace pale King Power.

Ligi kuu ya Ujerumani leo itashuhudia michezo kadhaa ikiwemo mchezo wa vinara wa ligi hiyo klabu ya Bayern Munich ambao wataikaribisha klabu ya Hoffenheim, michezo mingine ni kati ya Vfb Stuttgart Vs Rb Leipzig, Union Berlin Vs Augsburg, na Werder Vs Fc Heidenheim.

Kule nchini Italia ligi kuu ya Serie A kutakua na mchezo mkali pale katika dimba la San Siro ambapo klabu ya Inter Milan mabingwa watetezi watamenyana na klabu ya Bologna, Mchezo muhimu kwa vijana wa Inzaghi katika kuhakikisha wanarejesha nafasi yao ya kukaa kileleni mwa msimamo.

Michezo yote ambayo itachezwa leo imewekwa kwenye tovuti ya Meridianbet ambapo imepewa Odds bomba ambapo unaweza kujishindia maokoto ya kutosha kama utaweka mkeka wako leo bashiri sasa kupitia https://meridianbet.co.tz/sw/nyumbani ujinyakulie kititaaa.

Endelea kufurahia kubashiri na Meridianbet mabingwa wa michezo ya kubashiri ambao wanatoa ODDS BOMBA kuliko mahala pengine, Lakini pia machaguzi mengi zaidi ya 1000 Bashiri sasa michezo itakayopigwa wikiendi hii uweze kupiga mkwanja.

About The Author

error: Content is protected !!