October 30, 2024

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Meridianbet inakwambia hivi Pesa iko huku

Ndugu mteja wa Meridianbet baada ya jana kushuhudia mechi kali zikipigwa kwenye ligi mbalimbali, leo hii pia ni bandika bandua, mechi nyingi za pesa zipo leo. Ingia na ubashiri sasa.

Uingereza pale EPL leo kuna mitanange ya kukata na shoka ambapo Chelsea baada ya kupoteza mchezo uliopita leo hii atamualika kwake Newcastle United ambaye pia naye alipoteza. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda Enzo Maresca na vijana wake kwa ODDS 1.71 kwa 4.11. Jisajili hapa.

Pia muda huo huo Manchester United atakuwa ugenini kupepetana dhidi ya West Ham United ambao wapo nafasi ya 16 kwenye  msimamo wa ligi wakishinda mechi mbili pekee. Mara ya mwisho kukutana, Ten Hag na vijana wake walishinda. Je leo hii Wagonga nyundo wanaweza kulipa kisasi?. Mechi hii ina ODDS 2.84 kwa 2.29. Bashiri hapa.

Na mechi kubwa leo hii itakuwa pale jijini London ambapo Arsenal itakiwasha dhidi ya Liverpool ambao wamepoteza mechi moja pekee. Arteta na vijana wake wanahitaji ushindi leo hii ili wajiweke kwenye nafasi nzuri ya kuwania ubingwa. Je watweza kushinda mbele ya Arne Slot?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 2.45 kwa 2.94.

Ukiwa na Meridianbet ni rahisi sana kutua mapene. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Kule LALIGA nako ni pamoto leo Getafe uso kwa uso dhidi ya Valencia leo huku timu hizi zikitofautiana pointi 3 pekee akini mwenyeji ndiye kibonde wa ligi hadi sasa. Mara ya mwisho kukutana, mwenyeji alipauska. Je leo hii atalipa kisasi kwake?. Jisajili hapa.

Saa 2:30 usiku Real Betis atamleta kwake Atletico Madrid ambao wapo nafasi ya 4 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 8. Wote wametoka kushinda mechi zao zilizopita na ODDS zao ni 3.28 kwa 2.24. Suka jamvi hapa.

Na mechi ya mwisho leo Hispania ni kati ya Real Sociedad dhidi ya CA Osasuna ambapo mara ya mwisho kukutana mgeni alishinda. Je beti yako leo unampa nani? Mechi hii imepewa ODDS 1.75 kwa 4.80. Bashiri sasa.

Ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA kuna mechi kali sana ambapo Bayern Munich baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa mgeni wa VFL Bochum ambao ndio vibonde wa ligi wakiwa na pointi 1 pekee. 15. 68 kwa 1.13 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.

Union Berlin vs Frankfurt kuchuana vikali leo ambapo timu hizi zinafatana kwenye msimamo wa ligi, mwenyeji yupo nafasi ya 5 akiwa na pointi zake 14, na mgeni wake akiwa wa 6 na pointi zake 13. Mechi hii ina ODDS 2.50 kwa 2.79. Bashiri sasa.

Kule Italia pia SERIE A itaendelea kwa michezo kadhaa Lazio atamenyana dhidi ya Genoaambao wapo kwenye hali mbaya wakiwa nafasi ya 18 hadi sasa. Mwenyeji yupo nafasi ya 9 huku mechi ya mwisho kukutana mgeni alipasuka. Je nani kuondoka kifua mbele leo?. Mechi hii ina ODDS 1.40 kwa 7.44. Tengeneza jamvi hapa.

Nao mabingwa watetezi wa ligi Inter Milan watakipiga dhidi ya Juventus ambapo timu hizi zinafatana kwenye msimamo wa ligi. Tofauti kati yao ni pointi moja pekee huku wababe wa ubashiri Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda Inzaghi na vijana wake kwa ODDS 1.83 kwa 4.50. Beti sasa.

Mwisho kabisa leo Italia kutakuwa na mtanange wa Fiorentina VS AS Roma ambapo mara ya mwisho kukutana walitoshana nguvu kwa kufungana. Mwenyeji anapendelewa kushinda leo akiwa na ODDS 2.50 kwa 2.79. Je wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili sasa hapa.

Ligi nyingine ya kukupatia pesa ni hii ya Ufaransa yaani LIGUE 1 kwani kuna mechi kali sana leo mapema kabisa Lyon atakipiga dhidi ya AJ Auxerre ambao walishinda mechi yao iliyopita. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 1.43 kwa 5.88. Bashiri sasa.

Pia OGC Nice baada ya kutoa sare mechi yake iliyopita atamenyana  dhidi ya AS Monacoambaye naye pia alitoa sare ya bila kufungana mechi yake iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 10 huku mgeni akiwa wa 2 na mwenyeji akiwa wa 10. Tengeneza jamvi lako hapa na mechi hii yenye ODDS 3.43 kwa 2.08.

Na hapo baadae kabisa PSG atakuwa mgeni wa Marseille mechi kali kabisa hii ya kutazama kati ya mahasimu wawili wakigombani alama 3. Paris ya Enrique ni wa 1 na mwenyeji yeye ni wa 3. Nani kuondoka mbabe leo?. Beti mechi hii yenye ODDS 3.92 kwa 1.81.

About The Author