Je unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu hapa suka jamvi lako sasa na uanze kubashiri hapa.
Freiburg atakuwa nyumbani kusaka ushindi dhidi ya Genk ambapo mechi ya mkondo wa kwanza walipokutana, mwenyeji alipasuka. Leo hii anahitaji kulipa kisasi huku Meridianbet wakiipa mechi hii ODDS KUBWA kabisa ambazo zitakufanya utimize ndoto zako vyema kabisa. Je nani unampa nafasi ya kushinda leo?. Bashiri hapa.
Naye Lyon atamkaribisha kwake Celta Vigo kutoka kule Hispania huku timu hizi mbili zote zilitoshana nguvu kwenye mechi yao ya kwanza. Hii ni moja ya mechi ambazo ni mbichi kabisa kwani hakuna ambaye yupo nyuma kwa goli. Je kule Ufaransa nani kusonga mbele siku ya leo?. Jisajili hapa.
Mechi nyingine ni hii ya AS Roma vs Bologna ambapo hawa wote wanakipiga katika ligi kuu ya Italia, yaani SERIE A. Matokeo ya mechi ya kwanza hakuna ambaye alitamba kwa mwenzake. Meridianbet inakwambia kuwa unaweza ukabashiri mechi hii huku nafasi ya wewe kuwa Milionea ikiwa karibu sana. Tengeneza jamvi hapa.
Tengeneza pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Baada ya kushinda kule ugenini, Aston Villa watakuwa pale Villa Park kusaka nafasi ya kufuzu dhidi ya Lille kutoka kule Ufaransa. Vijana wa Unai wamekuwa na msimu bora sana kwenye michuano hii ya Europa huku wakiwa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi mnono wakiwa nyumbani. Je nani unampa nafasi leo?. Tandika jamvi hapa.
FC Porto baada ya kushinda mechi iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kujihakikishia nafasi ya kwenda Robo Fainali dhidi ya VFB Stuttgart kutoka kule Ujerumani. Tofauti yao hadi sasa ni goli moja pekee. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii siku ya leo. Meridianbet iinakwmabia kuwa ingia kwenye akaunti yako na ubeti mechi hii leo.
Kwa upande wa Panathinaikos baada ya kushinda mechi ya kwanza, atakuwa ugenini dhidi ya Real Betis kutoka kule Hispania. Betis anahitaji kushinda kwenye mechi hii leo ili ajiweke karibu na kufuzu hatua ya Robo Fainali. Je beti yako unaiweka wapi kwenye mechi hii ya leo?. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi hapa.
ZINAZOFANANA
Barcelona, Bayern kwenye mkeka wa Meridianbet ndani ya UEFA leo
Senegal yapinga uamuzi wa CAF, yakimbilia CAS
Nani kwenda Robo Fainali UEFA leo?