Ligi kuu ya Ujerumani inazidi kupamba moto huku wababe wa ligi hiyo Bayern wakizidi kufanya yao kwa kutoa vichapo mbalimbali. Lakini je unajua kuwa unaweza ukabashiri mechi zote za Bayern na Meridianbet?
Leo hii tunangazia timu ya Ujerumani kongwe kabisa na yenye mafanikio makubwa nchini, Bayern Munich, inaendelea kuthibitisha hadhi yake kama moja ya timu bora barani Ulaya kupitia mwenendo wake mzuri katika mashindano mbalimbali msimu huu.
Katika ligi ya Bundesliga, Bayern Munich imeonyesha ubora mkubwa kuanzia mwanzo wa msimu huku safu yao ya ushambuliaji ikiwa na makali makubwa ambayo inaongozwa na Harry Kane.
Mshambuliaji huyo amekuwa tegemeo katika upachikaji mabao. Uwezo wa timu kushambulia kwa kasi, pamoja na nidhamu ya safu ya ulinzi, umeifanya Bayern kuendelea kukusanya alama muhimu dhidi ya wapinzani wao wakuu.
NB: Mbali na kubashiri mechi za kandanda, Meridianbet pia inakupa nafasi ya kucheza michezo ya kasino mtandaoni kama Aviator, Keno, Super Heli, ambapo unaweza kujishindia zawadi kama simu mpya aina ya Samsung A26. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Kocha wa timu hiyo Vicent Kompany ameweza kujenga muunganiko mzuri kati ya wachezaji ambapo hali hiyo inasaidia kudumisha ushindani katika kila mchezo. Uwezo wa timu kumiliki mpira, kushambulia kupitia pembeni na katikati, pamoja na umakini katika mipira ya adhabu, umekuwa silaha kubwa ya mafanikio yao.
Katika mashindano ya UEFA Champions League, Bayern Munich pia imeonyesha kuwa ni miongoni mwa timu zinazowania ubingwa. Na mpaka sasa yupo kwenye hatua ya 16 bora na amepangwa kucheza na Atalanta kutoka kule Italia moja ya timu ambayo haitabiriki kabisa. Jisajili na ubashiri mechi zote na Meridianbet.
Timu imeonyesha uimara katika hatua za makundi na mechi za mtoano, ikionesha uzoefu mkubwa katika michezo ya presha.
Uwezo wa wachezaji wake kuhimili kasi ya mashindano ya Ulaya, pamoja na uzoefu wa kucheza mechi kubwa, unaifanya Bayern kuwa tishio kwa timu yoyote barani Ulaya. Nidhamu ya kiufundi na mbinu sahihi za kocha zimeendelea kuipa timu makali katika mashindano haya makubwa.
Mbali na Bundesliga na UEFA, Bayern Munich pia imekuwa na ushindani mkubwa katika mashindano ya ndani kama DFB-Pokal, ambapo kila msimu huweka malengo ya kutwaa makombe yoteambayo wanashiriki kikamilifu. Mtazamo wa timu ni kushinda kila taji linalowezekana, na hilo linaonekana wazi kupitia ari na morali ya wachezaji.
Vijana hao wa Kompany wana malengo ya wazi ya kurejesha au kuendeleza ubingwa wa Bundesliga, kufika mbali zaidi katika UEFA Champions League, na kushindania makombe yote ya ndani.
Mpaka sasa Bayern wapo nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa Bundesliga wakiwa na pointi zao 63 wakiwaacha wapinzani wao nafasi 11 ambao wanawafuata. Je timu hiyo msimu huu itachukua mataji mangapi?. Bashiri hapa.
ZINAZOFANANA
Kila mechi ni nafasi ya wewe kukupatia ushindi
Muda wa kushinda na Meridianbet ni sasa
Vanillah apata shavu Apple Music