February 24, 2026

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Pesa ipo kwenye mechi za UEFA leo

Huku ukiwa bado unajiuliza siku ya leo unaweza kupata pesa wapi wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia kuwa kupitia mechi za ligi ya Mabingwa kupiga pesa ni rahisi sana. Bashiri sasa hapa.

Vinara wa ligi kuu ya Italia, Inter Milan watakuwa San Siro kusaka ushindi dhidi ya Bodoe/Glimt kutoka Norway. Vijana wa Chivu wanahitaji kufuzu hatua ya 16 bora kwenye michuano hii ya Mabingwa Ulaya kwa heshima pale nyumbani. Kikosi kizuri ambacho wanacho Inter kitawavusha hatua inayofuata?. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii. Jisajili hapa.

Newcastle United atamenyana dhidi ya Qarabag ambao nao wanahitaji kwenda hatua inayofuata ya michuano hii. Vijana wa Eddie Howe wakiwa nyumbani wanahitaji ushindi ili waweze kwenda hatua ya 16 bora. Je mgeni anaweza kuwa kikwazo kwa wao kusonga hatu inayofuata?. Tandika jamvi hapa.

Pesa ni rahisi ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Pia pesa ipo kwenye mechi ya Atletico Madrid vs Club Brugge ambapo wakali wa ubashiri Meridianbet wameipa mechi hii ODDS za kibabe kabisa kwani kila timu inahitaji ushindi siku ya leo. Meridianbet inakwambia kuwa pesa ipo hapa leo. Je Diego Simeone na vijana wake wataweza kwenda hatua ya 16 kwenye michuano hii ya Ligi ya Mabingwa?. Bashiri hapa.

Kule Ujerumani, katika dimba la BayArena, Bayer Leverkusen atakuwa mwenyeji wa Olympiacos kutoka kule Ugeriki ambao leo hii hawapewi nafasi kubwa ya kushinda pale Meridianbet. Hii ni mechi ya kibabe na ambayo inaweza ikabadilisha maisha yako endapo utaweka jamvi lako la ushindi hapa. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Suka jamvi hapa.

Pia ukiachana na mechi za UEFA, kule Uingereza ligi daraja la kwanza yaani CHAMPIONSHIP zitaendelea Blackburn Rovers vs Bristol City ni mechi ya kibabe ambayo itapigwa huku tofauti ya pointi kati yao hadi sasa 12. Mara ya mwisho kukutana mwenyeji alishinda. Leo nani kuibuka mbabe?. Beti hapa.

Hull City atakuwa mwenyeji wa Derby Country ambao wapo nafasi ya 6 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 5. Hizi timu kwenye msimamo wa ligi zinafatana na mwenyeji leo hii anataka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya mwisho walipokutana. Je pesa yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Suka jamvi hapa.

Kwa upande wa Ipswich yeye atakuwa ugenini kucheza dhidi ya Watford ambao wanashika nafasi ya 12 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 4. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA ambazo zinaweza kukufanya ubadilishe maisha yako ukibashiri mechi hii. Jisajili hapa.

Unaweza ukabashiri mechi ya Southampton vs QPR huku tofauti yao hadi sasa ni pointi 2 tuuh. Leo hii kila timu inahitaji ushindi mkubwa ili iweze kusogea kwenye nafasi za juu. Je wewe beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Ushindi upo nje nje ndani ya Meridianbet. Weka dau lako na ubashiri sasa.

About The Author

error: Content is protected !!