February 22, 2026

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Nani kukupatia pesa kwenye mechi za leo?

 

Pesa iko nje nje leo hii kwenye mechi za leo ndani ya Meridianbet kwani kila kitu unachotaka kipo hapa kuanzia Odds kubwa, machaguo zaidi ya 1000. Jisajili sasa na uanze safari yako ya ushindi.

Italia, SERIE A itaendelea ambapo Atalanta atakipiga dhidi ya Napoli ambao ndio mabingwa watetezi wa ligi. Tofauti yao hadi sasa ni pointi 8 huku Meridianbet wakiipa mechi hii ODDS KUBWA. Unangoja nini kutengeneza mkeka wako siku ya leo?. Beti sasa.

Pia AC Milan yeye atakuwa kibaruani kusaka ushindi dhidi ya Parma ambao wanashika nafasi ya 12 huku Milan wao wakiwa nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi. Wenyeji wapo kwenye mbio za ubingwa huku ushindi wa leo ukiwa ni muhimu sana kwao. Je leo hii wanaweza kushinda?. Suka jamvi hapa.

AS Roma atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Cremonese ambao hawapewi nafasi ya kushinda mechi hii. Wageni wapo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi hadi sasa wakiwa na pointi zao 24 huku wenyeji wao wakiwa na pointi 47. ODDS KUBWA zipo hapa hivyo beti sasa.

Saka maokoto leo hii kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Hispania, LALIGA nayo kama kawaida kuna mitanange ya kukata na shoka Getafe ataumana vikali dhidi ya Sevilla ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 3 pekee huku mechi ya mwisho kukutana, mwenyeji aliondoka na ushindi. ODDS KUBWA zinakungoja pale Meridianbet. Jisajili hapa.

Nao mabingwa watetezi wa ligi, FC Barcelona watakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Levante ambao wanashika nafasi ya 19 kwenye ligi. Vijana wa Hans Flick wanahitaji ushindi kwenye mechi hii ili waweze kutetea taji lao. Je wageni watawazuia?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Beti sasa.

Mechi ya usiku kabisa itakuwa ni hii ya Villarreal vs Valencia ambapo Nyambizi wa Njano yeye yupo nafasi ya 3 huku wageni wao wakiwa nafasi ya 15. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo. Je wewe unampa nani pesa yako akupatie mshindo?. Bashiri hapa.

Ligi pendwa Duniani, EPL inatarajiwa kuendelea ambapo Crystal Palace atamenyana dhidi ya Wolves ambao ni vibonde wa ligi hadi sasa wakiwa na pointi 9 kwenye mechi 26 ambazo wamecheza hadi sasa. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo ijiweke kwenye nafasi nzuri. ODDS KUBWA zipo pale Meridianbet. Bashiri hapa.

Pia kule City Ground kutakuwa na mechi ya kibabe kati ya Nottingham Forest vs Liverpool ambao wanataka kumaliza nafasi za nne kwenye msimamo  wa ligi. Mara ya mwisho kukutana Slot na vijana wake walipokea kichapo kizito wakiwa nyumbani. Leo hii wanaweza kulipa kisasi?. Suka jamvi hapa.

London Derby safari hii ni Tottenham vs Arsenal ambao wapo kwenye mbio za ubingwa huku mechi hii ikiwa na umuhimu sana kwao. Presha inazidi kuwa kubwa baada ya kudondosha pointi kwenye michezo ya hivi karibuni. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda The Gunners. Je wewe unampa nani nafasi ya ushindi leo?. Tengeneza jamvi hapa.

About The Author

error: Content is protected !!