January 18, 2026

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Tengeneza mamilioni ukiwa na Meridianbet leo

Ni rahisi sana kutengeneza zaidi ya Mamilioni leo hii ukiwa na wakali wa ubashiri Meridianbet kwa kubashiri mechi zote leo. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako siku ya leo.

Ligi kuu ya Uingereza leo hii itaendelea kwa mechi kali mbili ambapo mechi ya mapema ni hii ya Newcastle United atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Wolves ambao bado wana hali mbaya kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi 7 kule mkiani. Vijana wa Howe wapo nafasi ya 7 hadi sasa. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii. Bashiri hapa.

Mtanange mwingine ni huu wa Aston Villa vs Everton ambapo mara ya mwisho kukutana hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa 14 huku vijana wa Unai wakihitaji ushindi mechi hii kujiweka vyema kwenye mbio za Top 4. Beti hapa.

Vilevile Ligi kuu ya Hispania LALIGA itaendelea, Atletico Madrid atakipiga dhidi ya Deportivo Alaves ambao wapo nafasi ya 16 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 4. Takwimu zinasema kuwa mechi ya mwisho kukutana kati yao hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Je nani kushinda leo?. Jisajili hapa.

Celta Vigo atakuwa uso kwa uso dhidi ya Rayo Vallecano ambao wapo nafasi ya 10 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 7 hadi sasa. Tofauti kati yao ni pointi 7 pekee. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo isogee mbele kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wameipa mechi hii machaguo zaidi ya 1000. Tandika jamvi hapa.

Barcelona ambao ni vinara wa ligi watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Real Sociedad ambapo vijana wa Hans Flick leo hii wanatak ushindi wa hali na mali kwenye mechi hii ili waendelee kukaa kileleni kwenye msimamo wa ligi. Je wenyeji atakubali kupoteza mechi hii akiwa nyumbani?. Suka jamvi hapa.

Ondoka na mshiko wa maana kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

SERIE A kule Italia nayo itaendelea na mechi ya mapema ni hii ya Parma vs Genoa ambapo mechi ya mwisho kukutana walitoa suluhu, hivyo hii ni mechi ambayo ushindi ni muhimu kwa kila timu. Meridianbet wanakwambia kuwa mechi hii inakupa nafasi ya kutimiza ndoto zako. Tengeneza jamvi hapa.

Torino atamleta kwake AS Roma ambao wametoka kutolewa kwenye Coppa Italia na hao hao wenyeji wao. Vijana wa Gasperini wanataka kulipa kisasi kwa kushinda kwenye mechi hii ya ligi. Pale Meridianbet unaweza ukapiga pesa kwenye mechi hii. Suka jamvi hapa.

Nao AC Milan watakipiga dhidi ya US Lecce katika dimba la San Siro huku wenyeji wakiwa wanauhitaji ushindi huu kwa hali na mali kabisa. Mgeni yeye pia nahitaji ushindi kwani nafasi aliyopo sio nzuri. Je nani kuondoka na ushindi siku ya leo?. Jisajili hapa.

Kule Ufaransa LIGUE 1 pia kitawaka Nantes FC atamenyana dhidi ya Paris FC ambao wamapenda daraja msimu huu. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 2 pekee huku timu zote zikiwa zipo chini kwenye msimamo wa ligi. ODDS KUBWA zipo hapa. Suka jamvi hapa.

Rennes vs Le Havre ni mechi nyingine kali kabisa ya kukupatia ushindi leo. Meridianbet inakupa nafasi ya kuondoka na mkwanja wa maana leo. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri mechi hii leo. Machaguo zaidi ya 1000 yapatikana kwenye mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.

Kwa upande wa Lyon yeye atakuwa kibaruani kumenyana dhidi ya Brest ambao wapo nafasi ya 11 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 5 hadi sasa. Nafasi ya kuondoka na ushindi pale Meridianbet amepewa mwenyeji. Wewe beti yako unaiweka kwa nani leo?. Jisajili hapa.

About The Author

error: Content is protected !!