Je unajua kuwa siku ya leo ni nzuri sana endapo utabashiri jamvi lako na Meridianbet?. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti leo.
Michuano ya FA CUP kule Uingereza nayo itaendelea ambapo Arsenal ambao ni vinara wa ligi watakuwa ugenini kupepetana dhidi ya Portsmouth ambao wanakipiga kule Uingereza ligi daraja la kwanza. Je vijana wa Arteta wataondokaje?. Beti hapa.
Wakati kwa upande wa West Ham United wao watauamana dhidi ya QPR ambao wapo ligi ya Uingereza daraja la kwanza. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Jisajili hapa.
Mashetani Wekundu, Manchester United wao watakipiga dhidi ya Brighton ambapo wote wawili wanahitaji ushindi kwenye mechi hii ya leo. Meridianbet wameipa mechi hii machaguo zaidi ya 1000 ambapo mara ya mwisho kukutana, United waliondoka na ushindi. Beti hapa.
Tajirika kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
BUNDESLIGA leo kuna mechi mbili ambapo Borussia Monchengladbach atakipiga dhidi ya Augsburg ambao mpaka sasa wanashika nafasi ya 15 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi na tofauti yao ikiwa ni pointi 2 pekee. Bashiri hapa.
Bingwa mtetezi wa ligi, Bayern Munich atakuwa Allianz Arena kukipiga dhidi ya Wolfsburg ambao mpaka sasa wamekusanya pointi 15 kwenye mechi 14 ambazo wamecheza hadi sasa. Mara ya mwisho kukutana, vijana wa Kompany waliondoka na ushindi mechi zote mbili. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Tandika jamvi hapa.
SERIE A nayo kama kawaida ambapo ACF Fiorentina atakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya AC Milan ambao msimu huu wapo kwenye nafasi ya kugombea ubingwa wa ligi. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya pili kutoka mwisho huku mgeni yeye akitaka ushindi mnono kwenye mechi hii. Bashiri hapa.
Lazio atakuwa ugenini kukipiga dhidi ya Hellas Verona ambao mpaka sasa wana pointi 18 huku wageni wao wakiwa nafasi ya 9. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili mgeni aliondoka na ushindi mkubwa. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA lakini pia machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Jisajili hapa.
Mechi kali itakuwa ni hii ya Inter vs Napoli ambapo hawa wote wapo kwenye mbio za ubingwa msimu huu. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 2 pekee. Ni vita kali kabisa kati ya Christian Chivu dhidi ya Antonio Conte kila mtu akitaka kuondoka na ushindi mnono. Je beti yako unaiweka kwa nani?. Suka jamvi hapa.
ZINAZOFANANA
ODDS KUBWA zipo Meridianbet leo
Taarifa zote za michezo zipo Meridianbet Sport Portal
Timiza ndoto zako na Meridianbet leo