Je unajua kuwa siku ya leo unaweza ukapiga mkwanja wa uhakika na Meridianbet?. Mechi kibao kuendelea huku nafasi ya wewe kuondoka na mzigo wa kutosha ikiwa wazi kabisa. Usisubiri kuhadithiwa, ingia na ubeti hapa.
Ligi kuu pendwa ya Uingereza, EPL itazidi kuwaka moto ambapo Chelsea atamenyana dhidi ya Everton mechi ambayo itapigwa katika dimba la Stamford Bridge. Mara ya mwisho kukutana hawa wawili The Blues waliondoka na ushindi mwembamba kabisa. Leo hii nani kuondoka mbabe?. Bashiri hapa.
Mtanange mwingine ni huu wa Liverpool vs Brighton ambapo tofauti ya pointi kati yao ni moja pekee. Msimu uliopita timu hizi ziligawana pointi kila mechi ambapo mechi ya kwanza vijana wa Slot walishinda kwao huku mechi ya pili vijana wa Fabian walishinda. Je leo hii nani kuondoka na alama 3?. Jisajili hapa.
Vijana wa Mikel Arteta, Arsenal watakuwa Emirates kukipiga dhidi ya Wolves ambao msimu huu umekuwa mzito sana kwao mpaka sasa wamekusanya pointi 2 kwenye mechi 13 walizocheza. The Gunners wanahitaji taji la ligi kuu msimu huu hivyo ushindi huu ni muhimu sana kwao. Bashiri hapa.
Piga mpunga wa maana na michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Tengeneza pesa pia mechi hizi za ligi kuu ya Hispania, yaani LALIGA ambapo Atletico Madrid ataumana dhidi ya Valencia ambao wapo nafasi ya 15 kwenye msimamo. Vijana wa Diego Simeone wao wapo 4 wakiwa nyuma pointi 6 kwa kinara wa ligi. ODDS KUBWA zipo hapa. Suka jamvi hapa.
Nao Mallorca wataumana dhidi ya Elche ambao wanatofautiana pointi 3 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 16 na mgeni wake akiwa nafasi ya 11. Meridianbet wanasema kuwa mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri mechi hii sasa.
FC Barcelona wao watakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya CA Osasuna ambao mpaka sasa wana pointi 12 kwenye mechi 14 ambazo wamecheza hadi sasa. Mara ya mwisho kukutana Barca alishinda, lakini mechi ya nyuma yake walipoteza. Je leo hii nani kushinda?. Tandika jamvi hapa.
BUNDESLIGA kule Ujerumani nayo kitawaka Frankfurt atakipiga dhidi ya Augsburg ambapo mara ya mwisho kukutana hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao hadi sasa. Tofauti kati yao ni pointi 11 na leo hii kila mtu anataka kuonesha ubabe kwa mwenzake. Je nani kushinda leo?. Bashiri hapa.
Nao ST. Pauli atamenyana dhidi ya FC Heidenheim ambao mpaka sasa wana pointi 8 wakati wenyeji wao wakiwa na pointi 7 hadi sasa kwenye mechi 12 ambazo wamecheza. Meridianbet wameweka machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi hii. Unangoja nini sasa, ingia na ubeti hapa.
Pia beti mechi za ligi kuu ya Italia, yaani SERIE A ambapo Torino atakipiga dhidi ya Cremonese ambao wapo nafasi ya 11 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 13. Kwenye ligi mara ya mwisho kukutana walitoa sare, hivyo leo hii nani anaondoka na ushindi?. Meridianbet wameipa mechi hii machaguo zaidi ya 1000. Suka jamvi hapa.
Lazio watakua ugenini kumenyana dhidi ya Parma FC ambao wapo nafasi ya 17 wakiwa na pointi 11 pekee hadi sasa. Mgeni yeye hadi sasa amekusanya pointi 18 na wanashika nafasi ya 8 kwenye msimamo wa ligi. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii hadi sasa. Jisajili hapa.
Na mechi ya mwisho kabisa itakuwa ya Atalanta vs Cagliari ambao tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 5 pekee. Ni suluhu ambayo ilipatikana kwenye mtanange wa mwisho kukutana. Je leo hii nani kushinda?. Beti hapa.
ZINAZOFANANA
Ijumaa ya kibingwa imefika ndani ya Meridianbet
Mzigo mkubwa upo Meridianbet leo na Europa League
Usiku wa Ulaya kukupatia mkwanja leo