Mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya bado zinaendelea na wakali wa Meridianbet wanakwambia kuwa nafasi ya wewe kuibuka bingwa ipo hapa. Weka dau lako sasa na ubashiri mechi zote hapa.
Ajax ambao mpaka sasa ndio vibonde wa kwenye ligi ya mabingwa watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Qarabag FK. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 7 pekee ambapo mwenyeji anahitaji ushindi huu kwa namna yoyote ile. Je nani unampa pesa yako akupe ushindi?. Bashiri hapa.
Mechi nyingine ni hii ya Athletic Bilbao vs PSG ambao mpaka sasa wana pointi 12, huku wenyeji wao wakiwa na pointi 4 pekee. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili ilikuwa ni 2011 ambapo Paris waliondoka na ushindi mechi ya pili, lakini ya kwanza walipoteza. Je nani kuondoka na ushindi siku ya leo?. Jisajili hapa.
Kule Ujerumani katika dimba la BayArena kutakuwa na mtanange wa Bayer Leverkusen vs Newcastle United huku tofauti yao ikiwa ni pointi 1 pekee hadi sasa. Kila timu inahitaji ushindi leo hii kwa hali na mali. ODDS KUBWA zipo Meridianbet leo. Ingia na ubeti sasa.
Mechi za Kasino ya Mtandaoni kukupa pesa leo, Cheza Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Vijana wa Antonio Conte Napoli wao watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya SL Benfica ya kule Ureno. Ikumbukwe kuwa wenyeji mechi yao iliyopita ndio walifanikiwa kushinda toka michuano hii ianze. Mara ya mwisho kukutana Napples waliondoka na ushindi mechi zote mbili. Je ni wakati sahihi kwao kulipa kisasi?. Tengeneza hapa.
Arsenal chini ya kocha mkuu Mikel Arteta watasafiri kukipiga dhidi ya Club Brugge ya kule Ubelgiji. The Gunners ndio wapo juu pale kwenye msimamo wa ligi wakishinda mechi zao zote 5, huku wenyeji wao wakiwa na pointi 4 kwenye mechi 5 hadi sasa. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Suka jamvi hapa.
Kwa upande wa Juventus baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kusaka pointi tatu dhidi ya Pafos ambao walitoa sare mechi yao iliyopita. Wote hawa mpaka sasa wana pointi sawa kwenye msimamo wa ligi. Mechi hii ni muhimu kwa wote wawili. Je beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Beti hapa.
Mechi kubwa itakuwa ni hii ya Real Madrid vs Manchester City katika dimba la Santiago Bernabeu huku mechi ya mwisho kukutana, Real waliondoka na ushindi mechi zote mbili. Hii ni vita ya Xabi Alonso vs Pep Guardiola. Pointi 2 ndizo zinazowatengenisha hadi sasa. Bashiri hapa.
ZINAZOFANANA
Bashiri na Meridianbet mechi za UEFA leo
Piga mkwanja mrefu na Meridianbet leo
Nani kukupatia mkwanja siku ya leo?