Holiday Drops – Christmas Edition ni kampeni maalum inayokuletea safu ya zawadi za papo hapo, ikifungua msimu wa shangwe, mshangao na ushindi unaoletwa bila taarifa. Kuanzia tarehe 01 Desemba 2025 hadi 08 Januari 2026, kila mchezaji anayeshiriki michezo maalum atakuwa na nafasi ya kukutana na neema za msimu huu, zawadi zinazoibuka kwa haraka na kuongeza ladha ya ushindi mara moja.
Holiday Drops inatoa muunganiko wa kipekee kati ya Christmas na kasi ya ushindi wa kasino mtandaoni. Hakuna hatua za kusubiri wala masharti marefu, zawadi zinaweza kujitokeza bila kutarajiwa, kama ishara ya zawadi kutoka kwa Santa. Kila mzunguko unakuwa ni mwanzo mpya, na kila sekunde inazaa uwezekano wa mshangao mwingine. Unapocheza kwenye michezo iliyobainishwa, unaweza kukutana na ushindi ghafla, kama zawadi ya kuvutia ya usiku wa Christmas.
Na kwa wale wanaopenda kuwa na udhibiti wa mchezo wao, Meridianbet imetia ladha zaidi. Kipengele cha Holiday Drops unaweza kukiwasha au kukizima muda wowote kupitia ikoni ndogo iliyo juu kulia. Ukiamua kukiwasha, ni kama kutandika mkeka chini ya mti wa Christmas na kusubiri zawadi zishuke juu yako kama theluji laini. Ukikizima, unaendelea na mchezo wako kawaida.
Meridianbet inakuja na michezo ya kasino, mechi zenye odds tamu, na njia rahisi za kujiunga na kucheza. Ukiwa na Meridianbet, kila siku ni nafasi mpya ya kuongeza kipato chako na kufurahia burudani bila mipaka. Tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10#
Michezo iliyopangwa kwa msimu huu ni ya daraja la juu, ikiunganisha ubunifu, mandhari ya Christmas na vionjo vya kipekee vinavyoangaza kwenye skrini yako. Kuanzia Snowing Gifts 3, Joker’s Wild Ride – Xmas, Majestic Santa, hadi Wild Xmas – Hold & Hit, kila mchezo umesukwa kwa ustadi ili kukupa burudani ya kiwango cha juu. Ni ulimwengu wa Santa, matao ya taa, barafu, na zawadi zisizokoma.
Huu ndio wakati wa kufunga mwaka kwa kishindo na kuukaribisha 2026 kwa tabasamu la ushindi. Fungua mchezo wako, na uingie kwenye tamasha la ushindi linalong’aa. Christmas hii, Meridianbet imekupa sababu ya kucheka zaidi.
ZINAZOFANANA
Michezo, Bonasi na Ushindi yote yapo kwenye Meridianbet Sports Portal
CCM kuchangisha Sh. 100 bilioni za uchaguzi mkuu
EXIM yatangaza mafanikio makubwa na mwelekeo madhubuti 2025