December 1, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Bashiri mechi zote na Meridianbet leo

Leo hii una nafasi ya kuibuka bingwa kwa kubashiri mitanange kibao ambayo inaendelea ndani ya Meridianbet kwani Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa.

Ligi kuu ya Hispania, LALIGA kuna mechi za kupiga pesa ambapo Rayo Vallecano ataumana dhidi ya Valencia ambao wapo nafasi ya 15 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 13. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 3 pekee. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii, hivyo ingia kwenye akaunti yako na ubashiri leo.

Kwa upande wa Italia kule, nako SERIE A kuna mechi ya kubashiri kati ya Bologna vs Cremonese ambao kwenye mechi 12 ambazo wamecheza wana pointi 14, huku wenyeji wao wakiwa na pointi 24. Meridianbet wameipa mechi hii machaguo zaidi ya 1000. Beti hapa.

Mkwanja upo leo kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kule Uingereza, CHAMPIONSHIP nayo itaendelea kwa mechi moja, Birmingham City atakipiga dhidi ya Watford. Takwimu zinaonesha kuwa wawili hawa mara ya mwisho kukutana mwenyeji alipoteza mechi zote mbili. Je leo hii ana nafasi ya kulipa kisasi?. Tandika jamvi hapa.

Kule Uturuki SUPER LIG pia ipo kwaajili yako ambapo Fenerbahce ataumana dhidi ya Galatasaray ambao ni mabingwa watetezi wa ligi hiyo. Tofauti yao ni pointi moja pekee huku hawa ndio wapo kileleni kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA. Je dau lako unaliweka kwa nani kati yao?. Jisajili hapa.

Samsunspor atakuwa uso kwa uso dhidi ya Alanyaspor ambao wamepoteza mechi yao iliyopita. Mwenyeji yeye ametoa sare mechi yao iliyopita. Tofauti ya pointi kati yao ni 9 hadi sasa. Nani kuondoka na ushindi siku ya leo?. Tengeneza jamvi hapa.

Ureno kule PRIMEIRA LIGA itaendelea kama akawaida kwa mechi moja ambapo SC Braga atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Arouca ambao mpaka sasa wanashika nafasi ya 16 huku mgeni yeye akiwa nafasi ya 7. Mara ya mwisho kukutana mwenyeji alipoteza. Je leo hii atalipa kisasi?. Suka jamvi hapa.

About The Author

error: Content is protected !!