November 27, 2025

Mwanahalisi Online

Habari za Uhakika

Mzigo mkubwa upo Meridianbet leo na Europa League

Mechi za Europa League zinaendelea leo hii huku nafasi ya kutusua na Meridianbet ikiwa nje nje. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia na ubashiri sasa.

AS Roma atakipiga dhidi ya Midtjylland ambao mpaka sasa ndio vinara kwenye msimamo huo wa Europa wakiwa na pointi zao 12, huku mwenyeji yeye akiwa na pointi 6 pekee. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Unangoja nini sasa kutengeneza jamvi lako la ushindi na Meridianbet?

Naye Aston Villa atakipiga dhidi ya Young Boys ya kule Uswizi ambapo mechi ya mwisho kukutana Villa waliondoka na ushindi. Tofauti ya pointi kati yao mpaka sasa ni 3 pekee. Kila timu inahitaji ushindi mechi hii kujiweka sawa kwenye msimamo wa Europa. Je beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Bashiri hapa.

Kivumbi kitakuwepo kwenye mechi hii ya FC Porto vs OGC Nice huku nafasi ya kuondoka na ushindi pale Meridianbet akipewa mwenyeji. Ikumbukwe kuwa mgeni hadi sasa kwenye mechi 4 alizocheza amepoteza zote hivyo je leo hii anaweza kuambulia nini ugenini?. Jisajili hapa.

Tusua maokoto ya maana na michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Pia unaweza kupiga pesa mechi ya Feyenoord dhidi ya Celtic ya kule Scotland ambao mpaka sasa wana pointi 4 huku mwenyeji yeye akiwa na pointi zake 3 pekee. Timu zote zinataka ushindi kwa hali na mali huku ODDS KUBWA zikiwa zipo kwenye mechi hii. Suka jamvi lako hapa.

Kule Ufaransa, Lille atamenyana dhidi ya Dinamo Zagreb ambao mechi iliyopita ya Europa walipoteza, huku wenyeji wao wakipoteza pia mechi yao. Kwahiyo ushindi ni muhimu sana kwa timu zote mbili baada ya kukosa pointi kwenye mitanange yao iliyopita. Bashiri hapa.

Vilevile Bologna wao watakuwa kibaruani kusaka ushindi dhidi ya FC Salzburg ambao wamepitwa pointi 2 pekee na mwenyeji wao. Takwimu zinaonesha kuwa hawa wawili hawajawahi kukutana kwenye mechi yoyote hivyo kila timu inataka kuonesha ubabe wake mbele ya mwenzake. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Tengeneza jamvi hapa.

About The Author

error: Content is protected !!