Wikendi ndio hiyo imefika, na wajanja wote wanabashiri na Meridianbet mechi zao zote. Wewe unangoja nini leo?. Ingia kwenye akaunti yako sasa na utengeneze jamvi lako hapa.
Ligi kuu ya Uingereza EPL, inaendelea leo ambapo mechi ya mapema ni hii inayowakutanisha Burnley vs Chelsea ambao wametoka kushinda mechi yao iliyopita. Mwenyeji yeye ametoka kupoteza mechi iliyotopita. Meridianbet wanampa The Blues nafasi kubwa ya kushinda. Bashiri hapa.
Nao Liverpool baada ya kupoteza mechi iliyopita, atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Nottingham Forest ambao wametoka kushinda mechi yao iliyopita. Msimu uliopita Forest wlaiondoka na pointi 4 kwenye mechi mbili walizokutana. Je ni wakati wa vijana wa Arne Slot kulipa kisasi? Mechi hii ndani ya Meridianbet ina machaguo zaidi ya 1000. Jisajili hapa.
Newcastle United watawaalika Manchester City ambao wapo nafasi ya 2 huku msimu uliopita walipokutana vijana wa Pep waliondoka na pointi 4. Howe na vijana wake nao wanahitaji ushindi kutoka nafasi waliyopo. Je beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Suka jamvi hapa.
Ushindi mkubwa upo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
SERIE A kule Italia nayo itaendelea Udinese atakipiga dhidi ya Bologna ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 6 pekee. Mara ya mwisho kukutana walitoa suluhu. Je nani kuibuka bingwa siku ya leo. Tandika jamvi hapa.
Fiorentina atakuwa uso kwa uso dhidi ya Juventus ambao wanalitaka taji la ligi kuu msimu huu kwani mpaka sasa wapo pointi 5 nyuma ya kinara wa ligi. Mwenyeji yeye upo nafasi ya mwisho akiwa na pointi 5 pekee. Je beti yako unaiweka wapi?. Bashiri hapa.
Naye bingwa mtetezi Napoli atakuwa mwenyeji wa Atalanta ambapo takwimu zinaoensha kuwa mara ya mwisho kukutana, mwenyeji aliondoka na ushindi, hivyo mgeni anataka kulipa kisasi. Je Conte na vijana wake watafanya nini? Beti hapa na Meridianbet.
LALIGA kule Hispania kitawaka pia, FC Barcelona atakipiga dhidi ya Athletic Bilbao ambao wanashika nafasi ya 7 huku Barca wao wakiwa nafasi ya 2. Ushindi huu ni muhimu sana kwa mabingwa watetezi hawa kwani utawaweka karibu na mbio za ubingwa. Jisajili sasa na ubeti mechi hii.
Osasuna atamenyana dhidi ya Real Sociedad huku mara ya mwisho kukutana mwenyeji alipasuka. Mwenyeji yupo nafasi ya 16 huku mgeni wake akiwa nafasi ya 14, na tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 2 pekee. ODDS KUBWA zipo mechi hii, hivyo bashiri na ushinde sasa.
Nao Nyambizi wa Njano, Villarreal watakuwa wenyeji wa Mallorca ambao mechi iliyopita, wameshinda huku wenyeji wao wakishinda pia. Meridianbet wameipa mechi hii machaguo zaidi ya 1000. Tengeneza jamvi hapa.
Lakini pia unaweza ukabashiri ligi ya Ujerumani, BUNDESLIGA bingwa mtetezi wa ligi, Bayern Munich baada ya kutoa sare ya kwanza mechi iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Freiburg ambao wapo nafasi ya 10. Je Kompany na vijana wake watapata ushindi nyumbani?. Bashiri hapa.
Pia Borussia Dortmund ataumana dhidi ya VFB Stuttgart huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni magoli ya kufungwa na kufunga tuuh kwani wote wana pointi 21. Msimu uliopita BVB walipoteza mechi zote. Je safari hii watalipa kisasi?. Tandika jamvi hapa.
Vilevile Wolfsburg atakipiga dhidi ya Bayer Leverkusen ambao wapo nafasi ya 5 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 14. Machaguo zaidi ya 1000 unayapata kwenye mechi hii ndani ya Meridianbet. Je beti yako unaiweka kwa nani siku ya leo?. Jisajili hapa.
ZINAZOFANANA
Nafasi ya kuibuka na ushindi ipo Meridianbet leo
Taarifa, Odds kubwa na fursa za ushindi zinakungoja kwenye Meridianbet Sport Portal
Beti na Meridianbet mechi za leo