Baada ya mapumziko ya Kimataifa, hatimaye sasa ligi zimerejea kwa kishindo kikubwa ambapo, Ijumaa ya leo ni nafasi ya wewe kutengeneza mkwanja wa maana. Ingai kwenye akaunti yako na ubashiri sasa.
Ligi kuu ya Hispania, LALIGA kutakuwa na mechi moja kali sana ambapo Valencia atakipiga dhidi ya Levante ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 19, huku wenyeji woa wkaiwa nafasi ya 17. Tofauti yao ni pointi 1 pekee, huku kila timu inahitaji ushindi kujitoa nafasi ya mkiani. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS za kibabe. Bashiri sasa.
Ligi nyingine ambayo itaendelea ni hii ya Ujerumani, BUNDESLIGA ambapo Mainz O5 atamenyana dhidi ya TSG Hoffeinheim ambapo mechi ya mwisho kukutana. Mwenyeji alipasuka. Je leo hii anaweza kulipa kisasi? Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mtanange huu. Jisajili sasa.
Unaweza ukatengeneza pesa pia mechi ya ligi kuu ya Ufaransa, LIGUE 1 kati ya Nice vs Marseille ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 8 pekee. Mwenyeji yupo nafasi ya 9 huku mgeni wake akiwa nafasi ya 2 na ushindi huu utamfanya apae hadi kileleni kwenye msimamo wa ligi. Suka jamvi mechi hii sasa.
Ushindi mkubwa upo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Halikdhalika ligi kuu ya Saudia, yaani SAUDI PROFESSIONAL LEAGUE itaendelea pia ambapo Al Ittihad atamenyana dhidi ya Al Riyadh huku takwimu zikionesha kuwa msimu uliopita mechi zote mbili walizokutana, mwenyeji aliondoka na ushindi. Je leo hii mgeni anaweza kulipa kisasi?. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Beti sasa.
Al Kholood wao watakuwa kibaruani dhidi ya Al Hazm ambao wana pointi 6 hadi sasa kwenye mechi 8 walizocheza, huku wenyeji wao wakiwa na pointi 9. Kila timu inahitaji ushindi mnono kabisa ili ijiweke kwenye nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi. Je nani unampa pesa yako akupe ushindi leo?. Tengeneza jamvi hapa.
Na mechi ya mwisho huko Saudia ni hii ya Al Ahli vs Al Qadsiah ambapo mara ya mwisho kukutana, mwenyeji aliondoka na ushindi. Na wewe kwa kubahsiri mechi hii unaweza ukaondoka na ushindi. Je beti yako unaiweka kwa nani?. Tandika jamvi lako hapa na Meridianbet.
ZINAZOFANANA
Taarifa, Odds kubwa na fursa za ushindi zinakungoja kwenye Meridianbet Sport Portal
Beti na Meridianbet mechi za leo
Mechi za kufuzu Kombe la Dunia zimekuja na pesa