Baada ya jana kushuhudia mitanange ya maana siku ya jana, leo hii tena kitawaka sana ambapo nafasi ya kuondoka na mpunga ipo nje kabisa. Tandika jamvi lako la ushindi na Meridianbet.
Vijana wa Enzo Maresca Chelsea leo hii watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Qarabag FK ambao mechi iliyopita walipoteza. The Blues wao walishinda wakiwa nyumbani. Je leo hii wanaweza kuendeleza ushindi wao?. Bashiri hapa.
Pia kule Uholanzi Ajax baada ya kupoteza mechi iliyopita, leo hii atakuwa kibaruani dhidi ya Galatasaray ambao walishinda. Hivyo leo hii ushindi ni muhimu sana kwa wmenyeji kwani mpaka sasa kwenye mechi 3 ambazo amecheza hajashinda hata moja. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Jisajili sasa.
Nao Club Brugge watamenyana dhidi ya FC Barcelona ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee. Kila timu inataka ushindi siku ya leo huku wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda Barca wakiwa na ODDS 1.55 kwa 5.20. Tandika jamvi hapa.
Piga pesa kwenye michezo ya kasino kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Bashiri mechi ya Benfica vs Leverkusen huku mwenyeji yeye akiwa hana pointi yoyote mpaka sasa. Kwa upande wa Mjerumani yeye ana pointi 2 pekee hadi sasa. Unaweza ukatengeneza mkwanja wako kupitia mechi hii sasa. Ingia na usuke jamvi hapa.
Vijana wa Pep Guardiola, Manchester City watakuwa Etihad kusaka ushindi dhidi ya Borussia Dortmund ambapo mara ya mwisho kukutana ilikuwa 2022 na hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Suka jamvi hapa.
ODDS KUBWA zipo mechi hii ya Marseille vs Atalanta ambapo mara ya mwisho kwenyeji yeye alifungwa huku mgeni yeye akitoa suluhu. Pointi 3 ni muhimu kwa hawa wote siku ya leo. Je nani kuondoka kifua mbele?. Beti sasa.
Newcastle United ya Eddie Howe watakuwa nyumbani pia kusaka pointi tatu dhidi ya Athletic Bilbao ambapo mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni 2022 kwenye mechi ya kirafiki ambao The Magpies walishinda. Je leo hii Bilbao kulipa kisasi?. Beti hapa.
ZINAZOFANANA
Ukitaka taarifa zote za michezo ingia Meridianbet Sport Portal
Tandika jamvi lako na Meridianbet leo
Suka jamvi la ushindi na Meridianbet hii hapa