Ligi kuu mbalimbali zinaendelea leo hii ambapo Meridianbet wanakwambia kwa dau lako dogo tuu unaweza ukabashiri mechi uzitakazo na ukaibuka bingwa leo. Wenzako wanafurahia tuuh ODDS KUBWA, wewe unangoja nini sasa?
Tukianza na ligi kuu ya Uingereza, yaani EPL kuna mitanage ya kutosha kabisa ambapo Arsenal ataumana dhidi ya Crystal Palace katika dimba la Emirates ambapo tofauti ya pointi kati yao ni 6 pekee. Vijana wa Arteta wanahitaji pointi 3 kuendelea kusalia kileleni. Mara ya mwisho kukutana, walitoka sare. Je leo hii nani kuibuka bingwa?. Bashiri hapa.
Huku kwa upande wa Manchester City wao watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Aston Villa. Timu zote zimetoka kushinda mechi zao zilizopita lakini. Mwenyeji anataka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi yao ya mwisho walipokutana. Je Guardiola na vijana wake watakubali kupoteza mechi hiyo huku Haaland akiendelea kufukuzia kiatu cha ufungaji bora?. Suka jamvi hapa.
Nao Everton baada ya kupoteza mechi yao iliyopita watawaleta nyumbani kwao Tottenham Hot Spurs ambao nao wamepoteza mechi yao iliyopita. Hivyo pointi 3 ni muhimu kwa hawa wote. Je nani kukupatia maokoto kwenye mechi hii?. Jisajili sasa huku mechi hii ikiwa na machaguo zaidi ya 1000.
Je unajua kuwa pesa ipo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Ligi kuu ya Hispania nayo kama kawaida kwenye LALIGA kitawaka ambapo mechi kubwa kabisa itakuwa ni EL CLASICO kati ya Real Madrid vs Barcelona mahasimu wawili kabisa hawa ambao wanataka kuoneshana ubabe. Msimu uliopita Real alipoteza mechi zote walizokutana na Barca. Je Vijana wa Alonso watalipa kisasi?. Vipi mbio za kiatua kati ya Mbappe na Lewandowski?. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Beti sasa.
Osasuna atakuwa uso kwa uso dhidi ya Celta Vigo ambao wapo nafasi ya 17, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 13. Tofauti ya pointi kati yao ni 3 pekee lakini pia machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii kali kabisa. Tengeneza jamvi hapa.
Deportivo Alaves atasafiri kukipiga dhidi ya Rayo Vallecano huku timu hizi zikifatana kwenye msimamo wa ligi. Pointi ni 1 pekee ndiyo ambayo inawatenganisha hawa wawili huku wewe ukibashiri mechi hii unaibuka bingwa pale Meridianbet. Unangoja nini?. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa.
SERIE A kule Italia nako itaendelea ambapo AS Roma atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Sassuolo ambao wapo nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi. Roma anahitaji ushindi huu ili asiwe mbali kwenye mbio za ubingwa?. Je nani unampa pesa yako akupe pesa zaidi?. Suka jamvi hapa.
Fiorentina atakuwa na kibarua cha kumfunga Bologna ili achukue pointi 3. Ikumbukwe kuwa mwenyeji ametoka kupoteza mechi yake iliyopita, huku mgeni wake akishinda. Ushindi ni muhimu kwa timu zote mbili. Bashiri mechi hii na Meridianbet.
Bibi Kizee cha Turin yaani Juventus baada ya kupoteza mechi yake iliyopita, atarejea tena Dimbani kusaka ushindi ugenini dhidi ya Lazio ambao wao walitoa suluhu mechi yao iliyopita. ODDS KUBWA zipo mechi hii ingia na ubeti sasa.
Mteja wa Meridianbet unaweza ukabeti pia mechi za Ligi kuu ya Ufaransa yaani LIGUE 1, Lille atamleta kwake Metz ambao ni vibonde wa ligi na wameachwa pointi 12 hadi sasa. Msimu uliopita mechi zote mbili walizokutana Metz alipoteza. Je kuna kisasi kitalipwa au ubabe utaendelea?. Bashiri na Meridianbet sasa.
Rennes yeye atakiwasha dhidi ya OGC Nice ambao wameshinda mechi yao iliyopita huku kwa mwenyeji yeye akitoa sare. Timu zote mbili zina pointi sawa yaani 11. Je nani kufikisha pointi 14 Jumapili hii?. Beti sasa.
Vilevile mechi nyingine ya kubashiri ni hii ya Lyon vs Strasbourg ambao wameanza ligi vizuri kabisa wakiwa na pointi 16 hadi sasa, yaani pointi 2 nyuma ya kinara wa ligi. Mwenyeji naye amepitwa pointi 1 pekee, hivyo ni mechi ya kukata na shoka kabisa. Ingia kwenye akaunti yako na ubashiri sasa.
ZINAZOFANANA
Tandika jamvi lako na Meridianbet leo
Suka jamvi la ushindi na Meridianbet hii hapa
Meridianbet yaunga mkono uinuaji vipaji, yagawa vifaa vya michezo kwa Jamii