
Mashindano ya kufuzu Kombe la Dunia 2026 yameanza kwa nguvu barani Ulaya, na kila timu inapambana kwa kila namna kuhakikisha tiketi yao ya kwenda Marekani, Mexico na Kanada. Meridianbet wameweka kila kitu tayari kwa wapenzi wa soka na wabashiri. Kuanzia ODDS zenye mvuto mkubwa, chaguo nyingi, na nafasi halisi za ushindi.
Ndani ya Estadio Jose Zorrilla, Hispania wanarejea uwanjani wakiwa na morali ya juu, wakilenga kuendelea kuonyesha ukali wao. Bulgaria, kwa upande mwingine, wanahitaji matokeo chanya ili kuendelea kuwa na matumaini ya kufuzu. Historia inawabeba Hispania na Meridianbet wameweka ODDS zinazofaa kwa pambano hili. Utaweka bet upande gani?
Uturuki wanapambana na Georgia. Tangu walivyoanza kukutana kwa mara ya kwanza mwaka 2002 mpaka sasa, wamecheza michezo saba na Georgia ameshinda mara moja pekee. Mchezo umelalia kwa Uturuki kushinda na Meridianbet wamepanga odds bora kwa kila mpenzi wa soka anayependa kujaribu bahati yake.
Usikose nafasi ya kuongeza kipato chako kupitia michezo ya kasino kama Poker, Keno, Roulette, Aviator na Superheli. Bahati yako inaweza kugeuza kila dau kuwa ushindi mkubwa. Piga *149*10# au tembelea meridianbet.co.tz na ujumuike na dunia ya ubashiri yenye ushindi kila dakika.
Ireland, wakiwa mbele ya mashabiki wao, wanapigania alama tatu muhimu. Armenia, wakiwa na kikosi kipya na chenye hamu ya ushindi, wanasaka alama tatu za kwanza. Mechi hii ni ya kila sekunde kuwa na thamani, na ODDS za Meridianbet zinafanya kila hatua kuwa ya kishindo.
Mashabiki wanangojea mbugi la kibabe kutoka kwa Cristiano Ronaldo na kikosi cha Ureno, kinapokutana na Hungary. Hungary hawana rekodi ya ushindi na wana alama moja wakiwa nafasi ya tatu. Meridianbet wameweka ODDS tamu, na chaguo lako linaweza kuwa tiketi ya ushindi mkubwa leo.
Saa moja kamili usiku, A Le Coq Arena itakuwa jukwaa la burudani ya soka pale Estonia wanapowakaribisha Moldova. Mechi hii ni ya mvuto wa kipekee kutokana na timu zote kuwa kwenye daraja sawa la ubora, na kwa Meridianbet, hiyo ndiyo fursa kubwa ya kushinda.
Italia, mabingwa wa zamani wa Ulaya, wanacheza dhidi ya Israel, ambao wameonyesha matokeo mazuri msimu huu. Hii ni mechi ya hali ya juu. Mashabiki wa Meridianbet watakuwa na nafasi ya kuongeza hela kupitia ODDS zilizopangwa kwa kiwango cha juu.
England wanasogea Latvia wakiwa na lengo moja tu, kushinda na kudumisha nafasi ya kuongoza kundi. Latvia wana shughuli nzito mbele ya kiwango cha England kwenye michuano hii. Meridianbet wana ODDS kubwa na chaguo nyingi za kila mpenzi wa soka kwenye mechi hii.
ZINAZOFANANA
Meridianbet yaunga mkono michezo, yadhamini “Chanika Veteran Bonanza 2025”
Burudani ya soka la kufuzu Kombe La Dunia na pesa kutoka Meridianbet
Meridianbet na uhakika wa pesa kufuzu Kombe La Dunia 2026