
Msimu mpya wa Ligi Kuu England umeanza kwa kasi, na Meridianbet hawajakaa kimya, wameachia Odds za kutikisa kwa timu zinazopigiwa chapuo kutwaa ubingwa. Kama wewe ni mpenda soka na mbashiri makini, huu ni wakati wa kuweka dau lako mapema kabla ushindi haujaja kwa kishindo.
Arsenal wapo kwenye kasi ya hali ya juu ndani ya ligi kuu. Baada ya kumaliza nafasi ya pili msimu uliopita, msimu huu wameanza kwa ushindi wa mechi 4 kati ya 6, wakifunga magoli 12 na kuruhusu 3 tu. Meridianbet wamewapa Odd ya 2.20, ishara kuwa The Gunners wana nafasi kubwa ya kutwaa taji. Unaamini Arteta anaweza kuandika historia?
Liverpool, bingwa mtetezi, yupo kileleni kwa sasa akiwa na alama 15. Mechi 6, ushindi 5, kipigo 1 pekee. Ingawa hawajawekwa nafasi ya juu kabisa kutwaa ubingwa na Meridianbet, bado wamepewa Odd ya 2.75. Kwa mashabiki wa The Reds, huu ni wakati wenu kuonyesha imani kwa Arne Slot na kikosi chake kwa kusuka jamvi lako na kumpa nafasi ya kumaliza akiwa bingwa wa EPL.
Meridianbet haiishii hapa, kuna michezo mingine ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye odds kabambe zinazokupa nafasi ya kuongeza kipato kila siku. Kujiunga ni rahisi mno, tembelea meridianbet.co.tz au piga *149*10# na uanze safari yako ya ushindi.
Manchester City hawajaanza msimu huu kwa kasi ya kutisha, vipigo viwili na sare moja vimewaweka nafasi ya saba. Lakini historia yao ya ubingwa bado inawapa heshima. Meridianbet wamewapa Odd ya 6.05. Kama unaamini Guardiola bado ana mbinu za kutwaa taji, hii ni nafasi ya kuvuna faida kubwa.
Chelsea wameingia msimu huu wakiwa na medali za kimataifa, lakini ndani ya EPL mambo bado hayajawa moto kwa upande wao. Kwenye mechi sita walizocheza, ushindi ni mara mbili pekee, huku sare zikiwa mbili pia na vipigo mara mbili. Licha ya changamoto hizi walizokumbana nazo, Meridianbet wamewapa Odd ya 35, kwa mashabiki wa The Blues, hii ni bashiri ya kujipatia pesa.
Tottenham Hotspurs wameanza kwa ushindi wa mechi 3, sare 2 na kipigo 1. Wametoka kutwaa UEFA Europa League, na ushindi wao dhidi ya Man City umeongeza matumaini. Meridianbet wamewapa Odd ya 52. Kwa wanaoamini kwenye maajabu ya Spurs, huu ni wakati wa kuweka dau na kusubiri ushindi wa kishindo.
Hii ni nafasi ya kumaliza msimu huu kwa furaha kwa kujikusanyia pesa za kutosha kutoka Meridianbet. Usichelewe kuweka jamvi lako.
ZINAZOFANANA
Jumapili ya mechi za kibabe na ushindi kutoka Meridianbet
Wikiendi ya soka la Ulaya, mechi kali na Odds Kubwa
Ulaya yazidi kuwaka, leo ni siku ya Mabingwa na wabashiri